Naombeni msahada zile auction goods kwenye ule mfumo wa TANESW zinataka uwe na vigezo gani ili uweze kununua bidhaa za mnada maana kila napojalibu kuangalia wap pa kuingia kama individual sipaoni
HAHAHAAAAAAAAA POLENI WAANGA. lilikuwa ni swala la muda tu. Hawa jamaa nilivyoona wanaanza kuja dodoma kujitangaza nikajua kabisa kinachoenda kutokea kitakuwa Pata potea
Kwani wao waliotapeliwa wanasemaje???
Nilishawahi kulala kwenye kibalaza cha pump ya mafuta nikiwa naudumia mafuta sheli, mvua yangu. baridi yangu, roho mkononi nikiofia naweza kuvamiwa mda wowote.....kaz za shift ya night tena zile za petrostation achen kabisa.
Nakumbuka siku nimekaa nikawaza kuwa ningekuwa kiongozi wa nchi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.