adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,787
- 37,796
Malizia hapo kwenye deshiLeo leo kazi ipo..... 😂😂
Malizia hapo kwenye deshiLeo leo kazi ipo..... 😂😂
Wameweka vinasa sauti hadi vyumbaniMsije mkategemea chochote kutoka SA. Hawa ni kama sisi tu, sema wao kidogo wanaafadhali. Hawawezi kupata hata goli 1. Wajitahidi tu mgoli yasiwe mengi kama yalivyokuwa ya Zaire ya mobutu seseseko. 1974
Hajawasave wenzie bali ameisave team nzima akiwemo na yeye,na yeye pia ni part of the team.Ndio kawasave wenzie kafanya saves nyingi.
Ok ok logic man, you're rightHawajasave wenzie bali ameisave team nzima akiwemo na yeye,na yeye pia ni part of the team.
Black mamba😊😊😊!Kuna yule black Mamba wa Mexico ni hatari sana waki endelea kumpa nafasi
Red card duhhhWanakosaje kizembe hivyo...