Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,467
- 193,434
Wanapakatwa... Humu hakuna jukwaa la South Africa...😄😄😄
Leo wanalo
Wanapakatwa... Humu hakuna jukwaa la South Africa...😄😄😄
Leo wanalo
Na amewasave sana mpk kufikia hapo, coordination ya timu iko chini sanaNamkubali sana huyo Kipa anajuaa
Ni kuanzia 2006 mpaka 2014Ninao wapa nafasi kuchukua kombe ili
1:France
2Portugal
3:Spain
4:England
5:Mexico
Kombe la dunia kuanzia mwaka 2002 bingwa mtetezi amekua akitoka hatua ya makundi. Ni France tu ndio kabeba 2018 Urusi, napia kacheza fainali 2022 Qatar. Hivyo nampa nafasi kubwa kuchukua kombe hili.
Wanafikiri wako masandawana Hao, confidence kwenye hamnaKipa wa Sauzi ni wa kuchapa makofi na style yake ya kupiga pasi nje ya 18
Haya mambo ya footwork tumwachie Manuel Neuer
Wananchiii mchukuweniNamkubali sana huyo Kipa anajuaa
Amewasave kina nani? Kwani yeye sio mchezaji wa SA?Na amewasave sana mpk kufikia hapo, coordination ya timu iko chini sana
👍Ni kuanzia 2006 mpaka 2014
Italy
Spain
Germany
Usiingize brazil iliyoshinda 2002. Unapaswa ufaham tangu mashindano ya world cup yaanze brazil haijawahi kutoka hatua ya makundi wala 16 bora, brazil anaanziaga robo final na kuendelea
MnoooNa amewasave sana mpk kufikia hapo, coordination ya timu iko chini sana
Ndio kawasave wenzie kafanya saves nyingi.Amewasave kina nani? Kwani yeye sio mchezaji wa SA?
Kocha kazingua bwana sauz tunanjua anache,a 4231 haya mambo ya back 3 anayatoa wapi bwana....makocha nao wanazingua aome timesmexico timu nyepesi.. ni south wenyewe tu ndio wanacheza mpira mgumu.
Ni kweli, hawa RSA hata wapewe muda hadi kesho alfajiri saa 11 wakati mechi nyingine inaanza hawawezi kupata goli hata 1Msije mkategemea chochote kutoka SA. Hawa ni kama sisi tu, sema wao kidogo wanaafadhali. Hawawezi kupata hata goli 1. Wajitahidi tu mgoli yasiwe mengi kama yalivyokuwa ya Zaire ya mobutu seseseko. 1974
Inabidi wakiingia waforce kukaa na mpira Mexico wanafungikaMnooo
Ngoja tuone watakuja na comeback ya aina gani wanaeza rudisha goliInabidi wakiingia waforce kukaa na mpira Mexico wanafungika
Kuna yule black Mamba wa Mexico ni hatari sana waki endelea kumpa nafasiNgoja tuone watakuja na comeback ya aina gani wanaeza rudisha goli