kwa kijana anayejielewa vzr na anawatambua hawa watu walivyo
ni vyema uweke moyo wako wote , nguvu zaki zote, mali zako , na upendo wako wa dhati katika kusaidia jamiii ili kuikwamua kimaisha
cku moja iyo jamaa itakuombea mema , itakukumbuka na itakuenzi kwa kuyafanya yale mema uliyokuwa...