Hakuna kuoa kwa hali hii

Hakuna kuoa kwa hali hii

Hey guys? Wale wenzangu na mimi na mwenye mtazamo kama wangu nadhani mtakuwa na imani na matumaini kwamba, asilimia kubwa ya wanaume kwa wanawake ambao waliwekeza mioyo yao kwa wapenzi wao pamoja na matumaini makubwa kuwa siku moja wataishi pamoja kama mume na mke lakini haikutokea hivyo, watakubaliana na mimi kwamba wamevunjika moyo sana.
Katka mahusiano yangu ya nyuma especially yaliyovunjika mwaka 2011 December 12 saa 12 mchana baada ya kugundua na kuthibitisha kbs kwa 100% mchumba wangu kutokuwa mwaminifu na kuamua kumpiga chini, iliniuma sana na kunichanganya sna kwa kuwa niliwekeza sna kwake.kila binadam ana falsafa yake ya kuhandle manmbo mbali mbali na hata hawa viumbe, mimi yangu ni dem akicheat hata kama nampenda vipi namwacha coz hakuna umuhim wa kuendelea na mahusiano na mtu unayejua amekusaliti kwa sababu za kipuuzi. Kwa sasa nimepata ofa ya madem 3 wa kuzaa nao. Kwa hali hii naona hakuna maana ya kuoa kwani napata kila kitu na nina dem mmoja pia anasema ananipenda na neshamwambia kwamba mimi sina mpango wa kuoa zaidi ya kuzaa tuu na wanawake. Don't judge ma philosophy kwa wanawake. Hata yule tuliyeachana nae pamoja na kwamba kaolewa lkn anataka pia mtoto kutoka kwangu ona sasa hawa viumbe walivyo wa ajabu, na nilishamwambia siwezi kuzaa nae coz Keshaolewa but ananilazimisha sna kuonana nae. Now I do believe ule msemo kwamba hawa watu ni "kuishi nao kwa akili"(wanawake)
So,wale vijana wenzangu especially wanaume waliotendwa na kuumia zaidi kwa wapenzi wao njooni kwenye kundi la kuzaa tuu na madem na kutunza watoto kwani wanawake wapo wengi mno hata tukioa 5 @1 bado watabaki.

mkuu,yalo nitokea mm ni aibu kusimulia...hao viumbe sitokaa niwaamin katk maisha yang..namuomba Mungu Anipe macho ya kuwatambua.
 
naunga 100% mm 1alipiga kibuti nikaumia sana hadi kufeli baadhi ya masomo chuoni lkn kwa sasa niko poa kuna mwingine kajileta lkn cna hamu na mwanamke tena soo napanga nizae nae mtoto tuu nichukue mtoto yeye atafte mwingine pia imenisababisha nimekuwa katili ktk mapenzi naona hata kuongea nao tena mara kwa mara ni kupoteza mda wako

kijana fanya kazi kwa bidii saidia jamii yako vzr bila kubagua pia jitoe kwa moyo wako wote katka jamii lkn please ucjitoe moyo wako kwa ajili ya mwanamke utakuwa umepotea

Aisee mkuu,hao hawasomeki na hawatabiriki.
 
Na mimi nawachukia wanaume vibaya mno na lazma azma yangu itimie ya kukomesha nyinyi wanaume!
Na kama nikizaa kwa bahati mbaya mtoto hutamshika mpaka unaingia kaburini.
unaumwa ww si bure....🙁
 
Na mimi nawachukia wanaume vibaya mno na lazma azma yangu itimie ya kukomesha nyinyi wanaume!
Na kama nikizaa kwa bahati mbaya mtoto hutamshika mpaka unaingia kaburini.
Kuzaa kwa bahati mbaya kukoje....acha kuchekesha....huwezi kumzuia mtoto kuonana na babaye
 
Hey guys? Wale wenzangu na mimi na mwenye mtazamo kama wangu nadhani mtakuwa na imani na matumaini kwamba, asilimia kubwa ya wanaume kwa wanawake ambao waliwekeza mioyo yao kwa wapenzi wao pamoja na matumaini makubwa kuwa siku moja wataishi pamoja kama mume na mke lakini haikutokea hivyo, watakubaliana na mimi kwamba wamevunjika moyo sana.
Katka mahusiano yangu ya nyuma especially yaliyovunjika mwaka 2011 December 12 saa 12 mchana baada ya kugundua na kuthibitisha kbs kwa 100% mchumba wangu kutokuwa mwaminifu na kuamua kumpiga chini, iliniuma sana na kunichanganya sna kwa kuwa niliwekeza sna kwake.kila binadam ana falsafa yake ya kuhandle manmbo mbali mbali na hata hawa viumbe, mimi yangu ni dem akicheat hata kama nampenda vipi namwacha coz hakuna umuhim wa kuendelea na mahusiano na mtu unayejua amekusaliti kwa sababu za kipuuzi. Kwa sasa nimepata ofa ya madem 3 wa kuzaa nao. Kwa hali hii naona hakuna maana ya kuoa kwani napata kila kitu na nina dem mmoja pia anasema ananipenda na neshamwambia kwamba mimi sina mpango wa kuoa zaidi ya kuzaa tuu na wanawake. Don't judge ma philosophy kwa wanawake. Hata yule tuliyeachana nae pamoja na kwamba kaolewa lkn anataka pia mtoto kutoka kwangu ona sasa hawa viumbe walivyo wa ajabu, na nilishamwambia siwezi kuzaa nae coz Keshaolewa but ananilazimisha sna kuonana nae. Now I do believe ule msemo kwamba hawa watu ni "kuishi nao kwa akili"(wanawake)
So,wale vijana wenzangu especially wanaume waliotendwa na kuumia zaidi kwa wapenzi wao njooni kwenye kundi la kuzaa tuu na madem na kutunza watoto kwani wanawake wapo wengi mno hata tukioa 5 @1 bado watabaki.
kaka kweli umevunjika moyo
 
Na mimi nawachukia wanaume vibaya mno na lazma azma yangu itimie ya kukomesha nyinyi wanaume!
Na kama nikizaa kwa bahati mbaya mtoto hutamshika mpaka unaingia kaburini.

Ni mapema sana kusema hivo. Tusipende kulipiza baya kwa baya
 
mkuu,yalo nitokea mm ni aibu kusimulia...hao viumbe sitokaa niwaamin katk maisha yang..namuomba Mungu Anipe macho ya kuwatambua.

Wapo wanawake bora eti na wenye sifa stahiki. Asikutende mmoja ukachukia wote

Muombe mungu akupe wa kufanana nae.
 
Itanichukua muda saana mkuu,,omba usikutwe..mnajikuta mmependana saana tena mkisaidiana katika shda na raha.yaan mmeaminiana vilivyo,lkn ghafla mwenzako anakugeuka tena ghafla,,unajiuliza,Hivi huyu ni yule naye mfahamu? au ameingiliwa na mashetani#
 
kwa kijana anayejielewa vzr na anawatambua hawa watu walivyo

ni vyema uweke moyo wako wote , nguvu zaki zote, mali zako , na upendo wako wa dhati katika kusaidia jamiii ili kuikwamua kimaisha
cku moja iyo jamaa itakuombea mema , itakukumbuka na itakuenzi kwa kuyafanya yale mema uliyokuwa ukiyafanya na hapo tutajenga taifa ra amani na upendo

lkn kwa kijana asiye jielewa atawekeza nguvu zake , malli zake , moyo wake ktk kumpenda mwanamke ambaye fadhila ulizomtendea hawezi kuzkumbuka wala kuzienzi kwa kuwatendea watu wengine

mwenye kuelewa na aelewe asietaka kuelewa endelea utauona mwisho wake
 
mkuu,yalo nitokea mm ni aibu kusimulia...hao viumbe sitokaa niwaamin katk maisha yang..namuomba Mungu Anipe macho ya kuwatambua.
It seems wanaolalamika huku ni wale waliotendwa, tena bora nyie wanaume mnaumizwa kihisia wanawake wanazalishwa na wanaachwa..
 
Na mimi nawachukia wanaume vibaya mno na lazma azma yangu itimie ya kukomesha nyinyi wanaume!
Na kama nikizaa kwa bahati mbaya mtoto hutamshika mpaka unaingia kaburini.
Mmh!! hii sasa ni tatizo
 
mimi sina la kuongea ngoja niendelee kupata kinywaji
 
Back
Top Bottom