Michuano ya Sprite Bball Kings 2019 inayoandaliwa na EATV, EA Radio kwa kushirikiana na kinywaji cha Sprite imezinduliwa Jumamosi Agosti 17 katika viwanja vya Mlimani City.
Huu ni msimu wa tatu wa michuano hiyo, ambapo katika usajili na ufunguzi, timu mbalimbali zimejitokeza kujisajili na...