Nahitaji gari ya kununua kati ya hizi

me4u

Member
Oct 26, 2012
42
13
Habari,

Nina bajeti ya milioni 5 na ninahitaji gari kati ya hiz

Vits new model
Toyota alex/Runx

Kama unayo tuwasiliane inbox
 
Ongeza.. sogea sogea, bei ya chini sana hyo


Vits new model 7-8 mil

Alex bei hiyo hiyo... zipo katika hali nzuri.

Namba D
 
yaaah hata mie ninayo at least 7 nakuachia kiroho safi sitaki udalali namba DBB
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom