INAUZWA Meza ya kioo ya chakula , laki 3.5

me4u

Member
Joined
Oct 26, 2012
Messages
43
Points
95

me4u

Member
Joined Oct 26, 2012
43 95
Habari ndugu zangu

Nauza meza ya chakula na viti vyake 6, (kama ilivyo kwenye picha)

imetumika kwa miezi miwili tu...

Bei shilingi laki tatu na nusu (350,000)

Inapatikana mwenge, jijini Dar es salaam

Kama uko interested, nicheki kupitia 0621026804
View attachment 1010281
 

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
2,172
Points
2,000

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
2,172 2,000
Habari ndugu zangu

Nauza meza ya chakula na viti vyake, ni kama vile bado mpya tu nimetumia kwa miezi miwili...

Bei shilingi laki tatu na nusu, ipo jijini Dar es salaam

0621026804
Hivi we ukiambiwa ni tapeli utabishaje? Hata matangazo ya waganga Wa kienyeji hayawekwi hivi
 

Forum statistics

Threads 1,364,204
Members 520,673
Posts 33,308,193
Top