Jana kama utani katika akaunt yangu ya Facebook nimetuma status"Asante Mungu nimepata mshahara wangu". Baada ya dk3 baba mwenye nyumba aka like��.
Huko unakoelekea unavunja familia na kama ana watoto mda si mrefu utatenganisha na kuwakatili watoto mapenzi ya baba na mama. Mbaya zaidi unaweza hata kuwakosesha elimu watoto hao maana Baba yao anaweza kuwakana.
Kaka mimi nakubaliana na wewe kwa 100%. Unajua hata hao wanaojitia tough kuwa mume hana kazi kwake na kujaribu kuwapotosha wengine deep down in their hearts they wish they chose a right man. Hakuna mwanamke asiyetamani Mume. Hilo napinga.
Kweli unafikiri wanavyolala peke yao siku baada ya...
Ushamba TU na kutojiamini hakuna Lolote. Demu anayesindikizwa ujue hataki kukupa mambo lakini anakuja kwa kuwa kuna kitu anafuata iwe offer Ya msosi, outing au pesa na hataki kuliwa.
Dawa ni kumtafuna yeye na kuchukua namba Ya msindikizaji mbele yake ili siku nyingine asimlete.
Tatizo unakuta mwanamke hujamuoa alafu anajisahau KISA TU umemtambulisha kwa wazazi. mkigombana anavyopandisha sauti mpaka Mtu akipita hajui mwanaume Nani. In the end, Im with her just because im waiting for something better to come along.
Acha kujinyenyekeza KWAKE, heshma itarudi. Sio kila akikutukana unaanza kumbebeleza mke wangu usinifanyie hivyo...............
Mi huwa na susa TU kila kitu chake akileta upuuzi. Yakizidi naacha hadi kuongea naye wala Kula chakula chake. Asubuhi kila mTU na njia yake.
Unajua kila unavyomba...
Ipo hivi,
Nlikuwa na mpenzi ambaye tuliachana muda. Mahusiano yetu yalibaki kuwa ni sex tu tena mara moja moja sana.
Binti akapata ujauzito ambao yeye alinambia mimi sio mhusika.
Juzi Kati hapa kajifungua mtoto wa kiume ambaye kwa anavyoonekna kafanana sana na mama yake.
Tatizo ni kuwa...
Naombeni msaada w mawazo kidogo, Eti nini madhara ya kukaa na house girl mwenye mimba?
Au ni busara kufanya kama wanavyofanya wengi kwa kumpa nauli aende kwao?
Mfano wewe ukigundua House girl wenu ni mama kijacho miezi mitatu utachukua uamuzi gani haswa ukizingatia kaipatia mitaani huko?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.