Ushauri:Kuoa mwanamke mwenye mtoto

Ushauri:Kuoa mwanamke mwenye mtoto

We sepa ukitaka kuua nyani usimwangalie usoni. Hayo machozi ya mamba!
Huruma hiyo baada ya miaka 5 itageuka majuto yasiyoelezeka
 
Hivi kijana mdogo kama wewe huwaoni mabinti wote wanaotoka vyuoni ambao wako fresh?

Hebu tazama kwa mfano huyo mama anaumwa na anahitaji damu na kwa bahati mbaya damu yako wataalam wanasema haimfai halafu anakuja mzazi mwenzake anapimwa damu wataalam wanaihafiki na anatolewa damu ili kumuokoa huyo unayemuona wewe ni mpya je baada ya kupona wewe utajisikiaje?

Na ukumbuke siku ya mtoto wao kuoa au kuolewa wao ndio watakaa high table kama Baba na Mama mzaa chema.

Mnatuchosha kila siku kuomba ushauri wa kijinga wakati mabinti kibao wanahitaji kuolewa.

mwenye mtoto na aolewe na mwanaume mwenye mtoto pia hapo ndio ngoma droo na siyo mvulana mzima na barehe zako unataka used.

ACHA IYO MANENO MBOF MBOF KAKA,mapenz hapo ivo et nioe kisa hana mtto,vp kama sijampenda??ndoa n upendo kwanza umpende dem ,sasa uyu msela kampenda dem mwenye mmto,haikataliw ,kina cho msumbua jamaa ni wvu tu,bt km mwanamke ni Smart enough hawez fanya lolote na uyo babà watto wake,suala apo ni jamaa kujua dem wake ANA akil gan na upeo wake maana madem wa sku iz chup mkonon akil zpo matakon,na ishu ya mtto kwenda kule its ok ndo kwao kwan ww sio babà ake na hata ukimsomesha jua atasaidia kwao ww ztabaki shukran tu mbele ya mungu,ishu apa ni dem wako aheshimu feelings zako kua hupend awe karbu na kule paspo na kifo au maradh,na km dem ana akil bas atakusoma vema,ww n mmoja ktk wanaume bab,sio wote wanaweza fanya ivo kama kwel hujawai taliki(talaka) au hujawai oa yan ndo ndoa yako ya mwanzo bas you r the best among the best ,msitiri uyo dada na Allah atawafanya ndoa yenu iwe n yenye baraka nying fi dunia wal akhera
 
Kinachoniumza nksema namuacha analia hadi namuonea huruma.

Kaka usioe kwa uruma ndugu yangu,km unampenda muoe kwa kumpenda na km unais unamuoa kw huruma bas STOP ,trust me dem hawez kosa mtu wa kumuoa kaka abadan,ndoa ni part ya maisha yako uspokua happy ktk ndoa je n wap utapata furaha,??wanawake kulia ni kawaida ,dem akifaulu tu analia sasa nn iyo,ukibug kwenye ndoa hata life yako huenda ikawa tait,sijui ww ni din gan bt wakrsto wakioa ndo bas sizan km ni halal kwao kuachana, bt as muslim km nkiona hii ndoa itanifanya mm nimuas mungu bas talaka ni halal unatoa tho sio vema na hata mungu anachukia lkn sio harama,yaan ni halali,coz km nkiendelea nae ntampa shda pengne nkmuacha huenda akatokea mtu na kumthan na kumjali thus y ni bora kumuacha,bt wakrsto n tafaut,Kwaiyo kk unaona kwa huruma bas acha.usifosi vtu ww mchache tu tho ataumia bt atasahau
 
..........husema kosea yooote but uckosee kuoa au kuolewa utaregrate, sasa ww ndugu yangu hata maisha ya ndoa tu na huyo shem hamjaanza tayari kuna dalili za kumrudia mzaz mwenzie, ucsubili mambo yawe magum, amua mapema na uchukue hatua kabla maj hayajawa shingon...
 
Kinachoniumza nksema namuacha analia hadi namuonea huruma.

zingatia hili" usikionee huruma kiumbe usichokizaa" kumbuka ukimuonea huruma jua ya kuwa leo analia yeye lakin kesho utalia wewe. Lakin tusije tukalazmisha kumfuga simba tukadhan ni mbwa nikimaanisha tunatoa ushaur kumbe ww hauko tayar kushaurika. Fanya kile nafsi yako inataka
 
lara1 anajua kuwa nshakubali majukumu,tushaongea nae nkamwambia tutakaa na mtoto ila huko mwa mume wakisumbua tutamrudisha kwao.ila naona kama ni vgumu kumtengansha kwan hata leo hii mtoto kaenda kulala kwa shangazi yake(mdogo wake baba yake).

sasa mtoto asiende kwenye ukoo wa baba yake kisa mama yake kapendana na wewe?
 
Kwa uzoefu wangu ni kuwa unatakiwa ujue kuwa mwanamke mwenye mtoto hupunguza upendo kwa mwenza hivyo humpenda mwanae kuliko mwenza. na mwanae ni damu ya huyo jamaa mwingine.

Kwa hiyo unaingia katka uhusiano wa tofaut kidogo, unakuhitaji uelewa wa ziada kwa mwanamke na kwa mtoto maana mwanamke muda mwingi utaona kama hakusikilizi anawaza kumchukua mtoto, naye mtoto anaweza kuwa akimlili baba yake sasa unabidi uwe na roho nzito ya upendo.

Mimi nilihamuweka ndani mwanamke wa hivyo miaka ya nyuma, niliinjoy maana life staili niliyokuwa naishi naye ni tofauti kidogo, mimi zangu ilikuwa naenda job nikirudi ni pombe na kupiga mzigo kinoma.nilikuwa kijana mbichi zaidi hivyo ilikuwa nikipiga bia mbili tatu nikiingia geto nikipiga msosi kilichobaki ni kupiga gemu kama masaa manne nalala nakuamka.bajeti ya ndani na watoto ilikuwa namuachia, na tulikuwa jioni siku moja moja namtoa na kupiga show usiku balaa. baba wa wale watoto alirudi kuomba kurudiana mwanamke akakataa kata kata kikubwa nadhani ni ile show nilikuwa natoa.

Sikuwa na ile kupelekana kwa ndugu au kupelekana kwa wakwe maana kule nako kuna fedheha yake, kwenda kwa wazazi wako na mwanamke mwenye mtoto wa mtu mwingine na unaishi na wewe bado kijana below 30 ni fedheha. walau uwe above 45 hapo hamna tabu.
 
Nmekusoma mkuu,ila vp mahusiano na huyo jamaa yake si yalirudi?
 
zingatia hili" usikionee huruma kiumbe usichokizaa" kumbuka ukimuonea huruma jua ya kuwa leo analia yeye lakin kesho utalia wewe. Lakin tusije tukalazmisha kumfuga simba tukadhan ni mbwa nikimaanisha tunatoa ushaur kumbe ww hauko tayar kushaurika. Fanya kile nafsi yako inataka

Hapana ndgu,nko tayari kushaurka ndo mana nkaomba ushaur kwa wana jukwaa.
 
Nmekusoma mkuu,ila vp mahusiano na huyo jamaa yake si yalirudi?

hawajarudiana mpaka leo. kikubwa katika mahusiano ni kumkonga nyoyo mwanamke.yaan kwenye kupiga show unasimamia kucho unajua kuna mahali umemgusa na kagusika.huyo jamaa hawezi kurudi.

Mimi huyo wangu alirudi akiwa na pesa balaa maana alipata kazi ya utalii kubeba wazungu na kuwapeleka mbugani siku mbili hakosi laki mbili tatu, anachezea pesa kwenye pombe ana usafiri wake lakini mazi alikataa kurudiana naye na kila alichojaribu kumrudia mwanamke nilikuwa nikipta taarifa hizo mapema sana na mwanamke alikuwa hataki hataki.
 
naomba nikukumbushe kitu, KUZAA NA MTU HAIMAANISHI NDIYE MUME AU MKE......naona kama hakuna ulichokisema cha maana hapo....

Wewe ndio huna maana hata chembe maana hata kusoma hujui ndio sembuse utajuwa kuchaguwa mwanamke? thubutu, kwa kifupi tu ili dunia iendelee kuwa tamu ni lazima yawepo mazuzu kama wewe.

Kongosho hebu lisaidie hili zombie kulisomea na kulitafsiria bandiko langu la kwanza nilikuwa nashauri nini watu wenye status gani ndio wanapaswa kuoana maana wote wana watoto.
 
Last edited by a moderator:
Nna mahusiana na dada mmoja na nlitegemea awe mke wangu hapo baadae.Huyu dada ana mtoto na jamaa mwingine na alivyoniambia na kwamba hawana mahusiano tena na baba mwenye mtoto nkakubali ntamuoa.Cha kunitia wasiwasi ni ukarbu uliopo kati yake na familia ya huyo baba mwenye mtoto,yani wako karibu kiasi kwamba mtoto anaenda kulala huko.Huu ukarbu unanipa wasiwasi kama kweli waliachana au ni kunidanganya tu.Je baadae si utaleta shida kwenye familia yetu.Waungwana hebu naombeni ushauri wenu.
Kwani wanawake ambao hawajazaa hawapo mpaka uanze kupasua kichwa chako na huyo mama mtoto? Siku ukiambiwa baba mtoto amekuja kumsalimia "mtoto" usihoji wala kupanic. Uwe mpole maana umeyataka mwenyewe.
 
yaani we kaka hujitambui kabisaaa. sasa unataka mtoto asiende kwa ndugu zake kisa ww na mawivu yako. wale ni ndugu zake tu. Ningekuwa huyo dada wala nisingelia ukisema unaniacha kwani hufai kuwa mume hata kidogo nyie ndio baadae mnakuja kunyanyapaa watoto. jiulize leo huyo dada kafariki mtoto ataenda wapi si kwa shangazi zake. jitambue ww
 
Baadae ntaambiwa sjtambui kwa kumkataza kwenda kumuona mzaz mwenzake. Ishu ilyopo ni kwamba jamaa kashasema kumuoa haipo kwa sababu ilikuwa one nightstand,yan nn sasa kujpeleka kwao ili hal jamaa ashamkataa na haeleweki? If she let the man go even the relatives,yan nn wakat kashakukataa kwamba mind your own business,unamwambia mtoto nenda kalale huko. Ntajkocommt only if hamna ukarbu nnao uona sasa.Nshamwambia kama wana ukarbu huo amuombe huyo jamaa amuoe,ila sio mim.
 
Back
Top Bottom