Kwanini ukitongozwa unatukana badala ya kukataa?

Kwanini ukitongozwa unatukana badala ya kukataa?

Live mwana matusi wanayatumia kama ngao ila hawanaga mishe jino moja ka outomatic
 
Usiwaogope mwana hawana ishu hao wakibosho/nyaturu wanaizo swaga
 
pole mkuu, dawa yao ni pale watakopofika 27,28, 29, 30 aged alafu no muelekeo.. Ngoja niishie hapo.

ha ha ha ha siye men hata tukifikisha 50yrz hatujaoa hakuna tatizo ila kwa mwanamke ni ugonjwa wa kideli kamwe hautakuwa na furaha mpaka unakufa,wanasahau kuwa heshima ya mwanamke kuolewa na heshima ya mwanaume kutafta pesa
 
live mwana matusi wanayatumia kama ngao ila hawanaga mishe jino moja ka outomatic

nawaonea huruma sana wadada kwakuwa hata maandiko yalisema itafikia stage wanawake watatongoza wanaume kuomba japo wasitiriwe. Mkuu grafani11 hebu toa kile kifungu cha bible madada wanaojishaua waone
 
Last edited by a moderator:
Kuna chuma changu kimoja aah balaa kamtokea demu wacha afurumushe mitusi mara mi mke wa mtu jamaa akamjibu najua kwani nilikuwa mwanakamati sasa why unanitongoza ilihali u najua? jamaa akamwaga verse na mzigo akapewa so matusi huwa yanakwisha ila kuna mademu noma akisimika kasimika kweli
 
unajua nini,sometmz mtu una mastress yako mawazo yani kichwani network busy af mtu unaleta mamitongozo tena ukute hayajaenda skul mtu.anaambiwa haelewi.eeh ajue matusi yatafuata
Anyway inategemea na mtu tu, tabia, malezi, uzoefu nk..maana km upo kwenye stress mtu akakupiga mistari ni challange ka challange nyingine..unaeza kukabiliana nayo kawaida tu..
 
Mkuu hata mimi neno hadhi naona halitumiki vizuri labda class would be suitable
 
We hujui wanaotukana ndio watamu basi. Kaza buti jipange urudi tena kivingine. Alafu unapotongoza ukitukanwa mbona haiumi kabisaaaa. Tatizo Lipo wapi?
 
Back
Top Bottom