Sote tunaelewa kwa kiwango fulani mwenendo wa mchakato wa uundwaji wa katiba mpya unaoendelea hivi sasa.
Swali nililo nalo kwenu wanajamvi na watanzana kwa ujumla.
Je, ni sahihi kuharakisha zoezi hili la uundwaji wa katiba kwa kisingizio cha kutaka katiba hiyo itumike ktk uchaguzi mkuu ujao...
Habari nyingine kubwa ya Tanzania ni mjadala
wa kurudi au kutorudi bunge la katiba kwa
vyama vya Upinzani ambavyo vilijiunga na
kuwa Umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA)
kwenye mchakato wa kuitafuta katiba mpya ya
Tanzania.
Mbunge wa Nzega Hamis Kigwangalla (CCM)
usiku wa August 1 2014...
Kila mahali sasa kila mtu anazungumzia mapenzi......wakati enzi zile (ambazo kila mtu anaziita enzi zetu) mapenzi yalikuwa siri ya wawili tuuu.....jmn tupunguze au tubadilishe style!!!
UKAWA NA HATMA YA BUNGE MAALUM LA KATIBA.
UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) wakiwa ni washiriki halali wa Bunge Maalum lililoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waliamua kususia vikao vya bunge hilo ikiwa ni njia ya kushinikiza madai yao.
Baadhi tu ya madai waliyotoa ni...
Baada ya mauaji mbalimbali yanayotokea hapa nchini na hiki cha karibuni zaidi cha Sista wa kanisa Katoliki.
Jeshi letu hili chini ya IGP Mangu limeendelea kuonesha udhaifu wake kwa kutoa taarifa wanazodai ni za "kiintelijensia".....sijui ni intelijensia gani isiyomhusisha mhusika wa tukio...
Nimefuatilia kwa karibu kabisa kuhusu taarifa mbalimbali na maelezo yanayotolewa kuhusiana na muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania!! Maelezo mengi katika hayo ni yasiyojitosheleza na hayatoi mwanga kwa wananchi waweze kuujua kwa utoshelevu na kuwawezesha kuutetea!! Naiomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.