Wakuu wana JF amabo nadhani ni great thinkers ingawa sina hakika kama wote ni GTs. Nawasalim and nawatakia tafakuri njema.
Nilikuwa nafuatilia mjadala wa muungano kwenye bunge la katiba and mara zote nimekuwa nikisikia watu wanaongelea kero za muungano za sasa and hakuna mtu anaongelea potential kero za aina zingine za muundo. Nikiwa kama mtu ambaye siku moja nitatakiwa kupiga kura ya aina yoyote kukubali ama kukataa muundo fulani. naomba Gts tujadili possible keros za miundo mingine and ikiwezekana tupime and tupeane uelewa.
Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusu serikali tatu/mkataba hasa ingawa maswali haya yamekuwa siyapati kwa serikali moja. Ningependa kushare na wenzangu mnipatie solutions na sio vijembe kwani nadhani tupo kimaslahi ya TZ zaidi.
1. Nafasi ya rais wa muungano. nimejiuliza utaratibu wa kumpata raisi wa muungano na amsure umeelezwa but haijawekwa wazi kama utakuwa wa kupokezana au vipi?. Kimsingi najua kwakua ni nchi mbili zimeungana am sure utaratibu utakaofuatwa logically ni wa zamu. And kama utaratibu huu ukitumika nawaza kitu kimoja ambacho kitaleta kero hapo baadae. Najua nchi yetu haina dini but watu wake wapo makini sana kuangalia utumishi na mgawanyo wa nafasi kwa misingi ya dini hatakama tunakataa but lipo. kwenye mfumo huu, mara zote zanzibar watatoa muslim president and bara tunanafasi kwa both. shaka yangu ni pale endapo raisi wa muungano toka Zanzibar ni muslim 10yrs, then akachanguliwa raisi muslim - 10yrs toka bara, and then zamu ya zanz 10 years ikaja. Itakuwa muslims wametawala 30yrs. Hii hatakama haisemwi itazua kero and haitakubalika pia kusema mwakilishi wa bara awe xtian kila mara.
2. Madaraka makuu ya kitaifa, nawaza pia jinsi ambavyo tutagawana madaraka mengine makubwa yakitaifa. Tunajua bara inawataalam wengi kulizo zanzibar. lakini katika misingi ya sharing huenda sisi ni equal partiners. So mkuu wa majeshi, judge, mawaziri etc lazima kama hatutakuwa na utaratibu mahsus navyo vitaleta kero kama ilivyo sasa.
3. Mgawanyo wa vitu vya serikali ya muungano vya sasa. Najua kwamba baada ya kuwa na serikali tatu ni lazima tutafute utaratibu wa kugawana vilivyo kwenye muungano wa sasa kati ya tanganyika na zanzibar. Hapa pia nakumbuka tulivyogawana east african community. kwamfano wafanyakazi wengi tupo jamhuri ya muungano, je ni utaratibu gani utatumika katika kuwagawa wa muungano, wa tanganyika , na wazanzibar bila kuleta ubaguzi na bughudha wala chuki? pia kuna mambo mengi ambayo yamefanywa kwa jina la muungano mfano deni la serikali, mapato na hazina hasa ikiwa kila mtu atatakiwa kuwa na mapato yake, polisi wa muungano je watakuwa bara tu au watapatikana wa zanzibar pia? nk
4. mtengamano wa kijamii na maslahi binafsi. ikitokea mapato ni suala la serikali husika lazima litazua mgongano wa sheria kuhusu utozaji kodi wa raia wa nchi husika pia utoaji wa maslahi fulani. kwamfano haitakuwa sawa pale mzanzibari na mtanganyika wanapogombea kiwanja mbagala apewe mzanzibari kwani kipaumbele ni watanganyika. Pia unless kama tutaweka sheria kuhusu kodi, huenda ikatakiwa wazanzibar walio kariakoo watozwe zaidi kama wawekezaji. Nadhani lazima kutatokea kero katika muungano pia and lazima tujipange.
5. la tano ongezeni wenzangu.
Napenda kurudia mimi sio mfuasi wa serikali mbili, tatu, mkataba angalau nahisi moja ingefaa ingawa sio lazima.
nawasilisha,
Nangu mahwelu.