Recent content by Mdodos

  1. Mdodos

    Total yatoa fursa vituo vya COCO na CODO kuzigeuza DODO! Kuwa umiliki kituo cha mafuta cha total

    Paschal program ya DODO Total bado IPO na inafanya KAZI au ilifika ukomo wake?
  2. Mdodos

    Mliokuwa mnamwona January Makamba na Nape ni Mashujaa... bado mna dhana hiyo?

    Kwan kuna tatizo January kua Rais WA taifa hili baada ya mama? Ha ha ha ana haki na sifa zote we tabu yako ni nin? Kama unazo na wewe ni haki yako pambana uwe Rais
  3. Mdodos

    Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

    Wewe Mwenye akili kubwa inayowaza mambo makubwa makubwa pale mtaan kwako umefanya initiative gan ili kuwasaidia Akina mama tufanye comparison na kuja kujifunza?
  4. Mdodos

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina awaumbua wanaotaka kufuta "Legacy" ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Kwanza pesa zote ni Mali ya wananchi,Rais WA nchi wala Hana pesa za kutoa Ila wananchi wanatoa Kwa kulipa Kodi na tozo mbalimbali half MWISHO kufanya miradi ya maendeleo sio kinga wala justification ya kua msafi na kutopiga na kuifanya kinga dhidi ya ufisadi
  5. Mdodos

    Rais Samia amegeuza upepo wa MSD kwa kumteua Mavere Tukai

    Kwamba chief of Party anapata 60m Kwa mwaka te te te te kukurupukia Jambo usilojua ni tabu Sana aisee.Chief of Party wanakua ni watendaji au wakuu wa program fulan na wanareport KW Country Director.Kama huelew jambo fulan jaribu kufanya research hata ya kawaida uelewe
  6. Mdodos

    Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

    Can you put those ubadhirifu evidence here? Hyo aliyemtengua wakat huo aliwah weka evidence za ubadhirifu wa Mchechu au hearsay Tu? Majungu majungu majungu tu
  7. Mdodos

    Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

    Kwan wapi iliandikwa kwamba Chief lazima awe mwanaume au mbaba? Akili ndogo ni tabu sana
  8. Mdodos

    Amini usiamini kuanzia Bunge lijalo hapatatosha

    Mbunge akishalambwa kichwa kwenye uchaguz na kamat huku anakwisha kabisa,same principle aliyoitumia JPM kukata watu na kupitisha watu wake wanajua pia wasipokua royal kw SSH watalambwa na mwishowe watapoteza wao.Siasa za Tanzania ukishapigwa chini na chama ndo imeisha hivyo
  9. Mdodos

    Hatuhoji mamlaka za uteuzi lakini tuambiwe Kalemani alikosea nini pale Nishati?

    WAKAT wa JPM walikua wanabadilishwa Wizara wanaozingua? Tuliza ngenga Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
  10. Mdodos

    Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Tafuta website za tender na systems za procurement zipo.
  11. Mdodos

    Hatuhoji mamlaka za uteuzi lakini tuambiwe Kalemani alikosea nini pale Nishati?

    Alikubali influence ya wapiga deal kwenye sector ya mafuta wakajipenyeza kupitia mfumo WA kuagiza mafuta Kwa pamoja (Bulk procurement) akaforce wapewe tender 15% kwa kisingizio cha uzawa kumbe jamaa hawana uwezo wakapelekea kuingiza mafuta Kwa garama kubwa mafuta taa na petrol vikapanda bei japo...
  12. Mdodos

    Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Tender Kwa ajili ya kupata huo mfumo ilitangazwa wakat Kaleman akiwa Waziri chini ya JPM na wala sio Serikal hii ya Sasa.
  13. Mdodos

    Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Tanesco chini ya Waziri aliyepita walitangaza tender na kampuni zikaomba , Waziri wa Sasa amekuja kushuhudia utiaji sain na kazi ianze.Pesa imetoka Kwa ajili ya kuweka Sawa mifumo ya Tanesco so mlitaka naye aanze kutudanganya kama last phase? Sasa hapo mnamlaumu Kwa lipi?
  14. Mdodos

    Waziri na Bodi ya Nishati mlianza kwa kutupiga Tshs bilioni 65 kwa kufunga rada wakati hakuna umeme wa uhakika

    Mtahangaika Sana Sukuma gang Ila MWISHO WA siku hamtafanikiwa ha ha ha ha.Naona mmeshikwa pabaya mnamtafuta JM kila kona.
  15. Mdodos

    Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Wakat wa JPM uongoz wote wa tanesco ulifutwa kuanzia board, mkurugenz na management je uamuzi ulichungunzwa?
Back
Top Bottom