Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 8,387
- 6,354
Matumizi mabaya ya pesa za umma(wizi) mchana kweupe, bila aibu nisawa na kufunga 'car track' king'amuzi cha kuangalia gali likowapi, kwenye magali yasiyotembea, ambayo unajua yakowapi 'well defined as daylight robbery'Waziri January Makamba ulipoingia wizarani baada ya kuunda bodi ya wakurugenzi haikupita muda mkaingia mkataba wa dola million 30 na kampuni ya kihindi ya Mahendrakwa ajili ya setelite.
Huu ni wizi wa mchana kabisa tena wa mapema ukifumbiwa macho na utawala.
1. Kama miundo mbinu mibovu inahitaji ukarabati, setalite ilikuwa priority? Au fedha hiyo ingetumika kukarabati kwanza so said miundo mbinu chakavu?
2. Kama hatuna umeme wa uhakika, kwanini fedha hiyo isingetumika kuongezea uzalishaji umeme?
3. Hiyo setelite haikuwa kipaumbele bali ni maslahi binafsi ya kwako na bodi yako.
Naomba mamlaka zichunguze kwa makini kuhusu mkataba huu wenye harafu ya kifisadi, mabingwa wanachukua chao mapema mno