Hatuhoji mamlaka za uteuzi lakini tuambiwe Kalemani alikosea nini pale Nishati?

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
 
Maguful aliwahi kusema "Hakuna anayejua siri nyingi za Nchi Kama Raisi." Mama kaona hafai na unapaswa ujue hafai kumsaidia.

After all uwaziri sio ajira. Bali unamsaidia Raisi kutekeleza majikumu yake, and you will persist at the President's pleasure.
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Kwa sababu ni Msukuma

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Kuna kipengele gani cha Katiba kinamshurutisha RAIS aseme ni kwanini ANAMTEUA/KUMTENGUA FULANI?!!!!

Mbona ulikuwa huhoji teuzi na tenguzi zilizofanywa na AWAMU YA 5?!!!

UNAFIKI HAUWASAIDII NINYI WATU
 
Tusimjadili Kalemani,kumjadili yeye nikumuongezea chuki na chama.
Tujadili mifumo yote.
Mfano wa Tanesco kuwaondoa top wote na bodi yake nadhani kipenyo kilienda haraka sana.
Shirika linahitaji ujuzi siyo makundi ya siasa na uchawa.
Alafu aliwaondoa kuanzia waziri, Mwenyekiti wa Bodi, na Mkurugenzi wote ni miwatu cv zao zinatisha sio watu wamaneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipengele gani cha Katiba kinamshurutisha RAIS aseme ni kwanini ANAMTEUA/KUMTENGUA FULANI?!!!!

Mbona ulikuwa huhoji teuzi na tenguzi zilizofanywa na AWAMU YA 5?!!!

UNAFIKI HAUWASAIDII NINYI WATU
Jikite kwenye hoja.
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Nachojua hapa nchini Tanzania Hatujawahi kuwa na upungufu wa maji yanayosababisha upungifu wa nishati ya Umeme bali tuna upungufu wa viongozi wenye akili za kujua namna sahihi ya ku exploit resources tulizonazo, maccm yanajua kabisa uwezo wao wa kung'amua mambo na kutatua changamoto za kila siku za watanzania umefika mwisho lakini wameng'ang'ania madaraka utafikiri luba.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ugomvi wangu kwenye umeme wa REA wa Bei Chee.
Marehemu aliweka target kila Kijiji kiwe na umeme na alisema amebakiza vijiji vichache Sasa huu mradi msipoumaliza tutajua wizara imewashinda
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Alikubali influence ya wapiga deal kwenye sector ya mafuta wakajipenyeza kupitia mfumo WA kuagiza mafuta Kwa pamoja (Bulk procurement) akaforce wapewe tender 15% kwa kisingizio cha uzawa kumbe jamaa hawana uwezo wakapelekea kuingiza mafuta Kwa garama kubwa mafuta taa na petrol vikapanda bei japo katibu mkuu wake alimzuia asifanye utaratibu huo maana ni kinyume na utaratibu Ila yeye alilazimisha na wala hakum consult mkuu wa nchi.
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Sidhani kama swali hili litajibiwa...sidhani
 
Alikuwa anachapa kazi mno hii si sawa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Ana makosa 3
1. Sukuma gang
2. Mwanaume
3. Hafuniki kichwa
 
Back
Top Bottom