Hatuhoji mamlaka za uteuzi lakini tuambiwe Kalemani alikosea nini pale Nishati?

Umeuliza swali zuri sana,unajua inashangaza sana from nowhere mtu unaondoa wakubwa wote wa tanesco ,
sector zingine ambazo ziko chini ya wizara ya nishati haziguswi, wakati nazo zinachangamoto nyingi. Na baada ya kuwaondoa hao viongozi ndipo vinapoanza vitimbwi na vihoja vya umeme. So iniaonesha wazi kuwa michongo watu wana draft.
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Sema wewe na mumeo syo sisi.

Kwani kelemani yeye nani bana
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Wewe Chawa tafuta kazi nyingine
 
Mbona hakubadilishwa wizara kama yule wa TAMISEM alivyobadilishwa wizara ?
Alikubali influence ya wapiga deal kwenye sector ya mafuta wakajipenyeza kupitia mfumo WA kuagiza mafuta Kwa pamoja (Bulk procurement) akaforce wapewe tender 15% kwa kisingizio cha uzawa kumbe jamaa hawana uwezo wakapelekea kuingiza mafuta Kwa garama kubwa mafuta taa na petrol vikapanda bei japo katibu mkuu wake alimzuia asifanye utaratibu huo maana ni kinyume na utaratibu Ila yeye alilazimisha na wala hakum consult mkuu wa nchi.
 
Mmea wa Arusha katika ubora wake
Ni mshamba, hana exposure yoyote ya chochote. Hakuwa na maarifa yoyote ya kusimamia mashirika yanayotakiwa kufanya kazi kwa standard ya Dunia kama ilivyo Tanesco. The same to Biteko. Wote ni wanazengo, exposure yao mwisho Nyarugusu!
Au nasema uwongo ndugu zangu?! Msema kweli ni mpenzi Wa Mungu.
 
maneno yako ya kikuda sana, we fikiria alisema atawaingilia tanesco, tpdc, ewura mmoja baada ya mwingine yaani wote wapange mstari then akiingiliwa huyu anafuata mwingine...
 
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?

Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.

Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.

Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Mama alifanya hivyo maksudi kumtuliza KIGOGO 14. Na kwa 100% amefanikisha kumruliza. Lakini utendaji wa KIGOGO 14 ni 11.77%
 
Watendaji wa Idara yoyote wanatakiwa kuheshimu system sio mtu. Usemavyo inaonsha kalemani na hao watendaji walikuwa kuna jambo wanashirikiana na lilikuwa haribifu
 
Maguful aliwahi kusema "Hakuna anayejua siri nyingi za Nchi Kama Raisi." Mama kaona hafai na unapaswa ujue hafai kumsaidia.

After all uwaziri sio ajira. Bali unamsaidia Raisi kutekeleza majikumu yake, and you will persist at the President's pleasure.
Zingine huwa ni figisu na umbea wa wale ndugu tu, linachafuliwa fail lako Rais anajazwa maneno weeee ,unapigwa chini , nafikili huyu Bwana alikua serious kidogo , nishati sio wizara lelemama,
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom