Recent content by mdeesingano

  1. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni yenu kwa idea ya Gushit "yakiTz kwa waTz" katika African News Innovation Challenge

    Pole na shughuli. Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao wanataraji kuwapa washindi si chini ya $1.0m. Waandaaji (ANIC) wameweka wazi kwamba wanahitaji idea...
  2. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Maombi ya maoni yenu kwa idea ya Gushit "yakiTz kwa waTz" katika African News Innovation Challenge

    Pole na shughuli. Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao wanataraji kuwapa washindi si chini ya $1.0m. Waandaaji (ANIC) wameweka wazi kwamba wanahitaji idea...
  3. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Request for Public Comments by a Tanzanian Web Startup in African News Innovation Challenge

    REQUEST FOR PUBLIC COMMENTS BY A TANZANIAN WEB STARTUP IN AFRICAN NEWS INNOVATION CHALLENGE Gushit is a Tanzanian based contents distribution and engagement startup operated by Jigambe Technologies Limited (JTL) that owns other websites such as TanzaniaKwetu and JigambeAds among others...
  4. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Duuu, Kumbe Tanzanite ni dawa...

    Hebu pitia hii link How to Heal With Tanzanite | eHow.com uone tulivyobarikiwa kwa rasilimali watanzania... kumbe tanzanite sio kua ni vito tu bali yaweza kuwa dawa...
  5. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Simu za Kichina

    Kwanini kwenye simu nyingi za kichina kunakua na web browser ila ukijaribu ku-connect internet inagoma!? Kuna mwenye settings za internet kwenye simu za kichina!?
  6. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Uandishi wa vitabu Tanzania

    Wadau, kama je mtu anataka kutoa tu advertorial magazine taratibu zinakuaje!?
  7. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Strictly tanzanian websites only

    @tecintz.... You are welcome, tupatie hata kama ni mpya... Tunataka kujua zilipo ili tuongeze local content...
  8. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Mmhhh, bandwidth inakua na speed ya maana!? Au utakua unaangalia kwa ku-stack stack!? Buffering kibao!
  9. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Strictly tanzanian websites only

    I'm looking for STRICTLY TANZANIAN WEBSITES that offers affiliate programs. If you have (or you know) an affiliate program in your website(one owned by a tanzanian or someone living in tanzania) please comment and give us a link directing us to the affiliate program. Thanks.
  10. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Crack (au serial) ya Dreamweaver CS5.5 for Mac Os X

    Naomba mwenye link ya how to Crack Dreamweaver CS5.5 for Mac Os X ai-paste hapa! Thanks
  11. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania WEBMASTERS : JOOMLA 1.5 inafikia tamati sasa ipo Joomla! 2.5

    Yap, lazima wataweka grace period na pia kutakua na "backward compatibility"... That is, itakua webserver zitakua zinasema requirement is php 4.3 or higher... Nadhani watatoa grace period ili kwamba watu wasiumie sana (ingawa grace yenyewe itakua wao wanaiona kubwa na sisi tunaiona ndogo sana as...
  12. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania eHow inavyosema kuhusu computer programming schools in tanzania

    Sio hvyo tu, kuna vyuo vingi sana tanzania vinafundisha programming, cha kwanza ni university of dar es lakini havijaorodheshwa hapo kwenye hiyo link... Nilitaraji walau some people from hvyo vyou nao wangeweka hata comment kua vyuo vyao navyo vipo!
  13. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania eHow inavyosema kuhusu computer programming schools in tanzania

    Tembelea link hii: http://www.ehow.com/m/list_7169020_computer-programming-courses-tanzania.html Sasa, baada ya kutembelea, vyuo vingine kama UDSM, UCC, MIST, UDOM, etc mpo wapi!? Let's be active!
  14. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania Mtalaam wa website

    Jigambe Technologies | "Empowering Online Presence" try it, you will see!
  15. mdeesingano

    JamiiForums Tanzania WEBMASTERS : JOOMLA 1.5 inafikia tamati sasa ipo Joomla! 2.5

    I have been going through this... I see some major changes from them, ila naona kama it will soon change again cz they are using php and funny enough is, php will nearly change to version 6.0 from 5.4... Kwa programmers, tunasema: "that's the bad side of technology being too fast"----- kabla...
Back
Top Bottom