WEBMASTERS : JOOMLA 1.5 inafikia tamati sasa ipo Joomla! 2.5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WEBMASTERS : JOOMLA 1.5 inafikia tamati sasa ipo Joomla! 2.5

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Mar 14, 2012.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tovuti kadhaa za taasisi kubwa kubwa na blog chache zinazopendwa hapa bongo zinatumia Joomla! toleo la 1.5 . .

  Sasa toelo hii a jooomla! lilikuwa likisappotiwa kwa muda mrefu matatizzo ya kiusalama (security) na mengineyo kwa kupatiwa suluisho na wataaam wa joomla wenyewe, lakini ifikapo April 2012 Maprogramer wa joomla watasitisha kabisa kutoa support ya matatizo ya toleo hili.

  Hivi sasa toka january 2012 Joomla wametoa Toelo lingine la joomla! 2.5 ambalo itakuwa na supporot ya muda mrefu( Takriban miezi 18). Hapa katika katikati kumekuwepo matoeo mengne kama1.6 na 1.7 lakini haya yote hayakuwa (Long term Release)

  Kwa mujibu wa tovuti ramsi ya joomla migration/upgrae kutoka 1.5 wenda 2.5 haina usumbufu.

  Kuna nini kipya zaidi ndaniya toeo la joomla 2.5
  ?
  zaidi ya mabresho ya kiusalama (security) na utumiaji(usability) Toleo hii jipya litaweza zaidi ya kufanya kazi kwenye MYSQL ilitaweza kufanya kazi kwenye databae engine za MSQserver PostgreSQL ana Oracle . Mengineyo soma hapa


  Walengwa wa hili toleo ya LTR ni kina nani ?
  walegwa hi LRT version ni taasisi kubwa kubwa(Na zenye data critical kwenye database za joomla ) ambazo kwao ni usumbufu kufanya upgrae kila baada ya miezi mitatu au sita.


  Kazi kwenu webmastser na wanaotoa huduma kusimamia tovuti hizo
   
 2. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I have been going through this... I see some major changes from them, ila naona kama it will soon change again cz they are using php and funny enough is, php will nearly change to version 6.0 from 5.4...

  Kwa programmers, tunasema: "that's the bad side of technology being too fast"----- kabla hujamaliza kuielewa vizuri, tayari inakua ishabadilika!
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Uko sahihi Binafsi kuna kitu niikuwa ninajaribu jaribu na kufanya upgrade ila kikasumbua sababu ya extension yake.

  Lakini uzuri wa kuupgrade ndio huo hata Php version version kwenye webserver / Web host ikibadilika wenda 6.0 then kwa makapuni wasiokuwa a internal support ya kutosha the safest way ni kwenda na version amabyo ina support ya developer wa joomla version .

  Do u think hiyo Php version 6 itatumiwa na webserver/wbhost as soon as ikitoka? au watatoa grace period ya walau mwaka mmoja ili watu waweze kufanya required an neccary changes kwenye application zao.

  BTN
  vip mkuu lakini project zako zinakwendaje
   
 4. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap, lazima wataweka grace period na pia kutakua na "backward compatibility"... That is, itakua webserver zitakua zinasema requirement is php 4.3 or higher... Nadhani watatoa grace period ili kwamba watu wasiumie sana (ingawa grace yenyewe itakua wao wanaiona kubwa na sisi tunaiona ndogo sana as technology is fast)...

  Kaka, project zipo vizuri kwa kweli; the lessons I learnt from the projects are:

  1. We are poor in marketing strategies as far as web properties/projects are concerned (namaanisha project za web ambazo sio zile ambazo unamtengenezea mtu site ya kampuni yake)
  2. Muamko wa watanzania upo vizuri, ila wanataka vitu vya kawaida sana, sio vitu vigumu kutumia....
  3. Kunatakiwa kuwa na connection baina ya journalists na web developers ili kazi ziwe tamu zaidi. Utagundua kua, website za watu wa journalism kwa hapa tz zipo juu in comparison to sites za wanateknolojia ya web cz journbalists have the quality of making a story or presenting an information!

  BTN

  Vipi project zako!
   
 5. E

  EssauAstery New Member

  #5
  Dec 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani naomba msada mm napenda web design nime create wap za simu sasa nahi taji kujifunza php step by step naomba mni saidie niliyo tegeneza Tzwap | WapSite
   
 6. E

  EssauAstery New Member

  #6
  Sep 18, 2013
  Joined: Dec 5, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
Loading...