Msaada wa maoni yenu kwa idea ya Gushit "yakiTz kwa waTz" katika African News Innovation Challenge

mdeesingano

Member
Aug 12, 2008
64
19
Pole na shughuli.

Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao wanataraji kuwapa washindi si chini ya $1.0m.

Waandaaji (ANIC) wameweka wazi kwamba wanahitaji idea zipate comment/criticism/mawazo ya watanzania na mashabiki wengine ili kutuvusha katika hatua nyingine tena ya pili baada ya kuvuka ile ya kwanza.

Ili kuweka comment/criticism/mawazo au maoni yako katika idea yetu tafadhali click/tembelea link hii:

African News Innovation Challenge | Gushit "yakiTz kwa waTz" - Tanzania's crowdsourced new aggregator

Ahsante
Gushit Team
 
Back
Top Bottom