Recent content by mdawi

  1. M

    JamiiForums Tanzania TOL Gases Limited inaliwa wenye hisa zenu....

    Nakubaliana nawe Mjini Chai, mimi ni mteja mkubwa saaana wa TOL ila nafikiria kutafuta supplier mwingine wa Gas, kuna Mainjinia Vichwa wametolewa kwa ajili ya FITNA na Majungu mfano G. Lyatuu alikuwa production Manager, A. Magai alikuwa Fundi Mkuu Mzee Matilya woote hawa ni vifaa wameamua kuleta...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

    Kweli kabisa kule kwetu moshi wanaume wooote hatupendi wanawake wetu walale uuuuu uchi kweli
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1995 wanachuo walifukuzwa wote Dsa

    Mimi nimesoma DSA the TIA (kwa sasa) wakati naanza niliowakuta pale walitupa hii stori. je Julius ndie alikuwa anaitwa Freeman?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je usingizi wa kwenye dala dala una faida gani?

    KWA MTAZAMO WANGU HIYO NI DALILI YA UVIVU, MAANA UTAKAPOLALA UKIAMKA MWILI UMECHOKA CHOKA SO HATA PERFORMANCE YAKO KAZINI KNAKUWA AFFECTED (This is my View)
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Mkuu labda tuwaige kwenye kukwepa kodi, UWT waende kampuni moja inaitwa UNIQUE FINANCIAL SERVICES 85% ya employees ni wahindi wanakaribia kuhamia jengo lao jipya pale opposite na Seifi Book Shop Upanga hapo ndio itakuwa mambo yote maana mpaka wafagizi watakuja toka india. Where are we...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mi naogopa mende

    Pole sana, ungesoma PCB F.6 LAZIMA UFANYE DISSECTION YA MENDE SS SIJUIWW INGEKUWAJE
  7. M

    JamiiForums Tanzania April Mosi

    Wana JF salam sana, nawakumbusha kuweni makini leo ni April Mosi ni sikukuu ya wajinga huwa inaisha saa 4 asubuhi. Alamsiki
  8. M

    JamiiForums Tanzania Too Much Sitting is Harmful !!

    Tulioajiriwa na wahindi kazi kwetu maana unaingia job no sun unatoka no su kaaaazi kweli kweli mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukikubali kuolewa na Mchaga, kubali kufata mila

    Weeee ishia hapo hapo kabila ni letu na mila ni yetu haujaombwa kuchangia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi usiyoyajua kuhusiana na bar zenye guest

    Ctu njoo mwananyamala kwa wahaya buku moja unapona unachagua mwenyewe chumba utakacho, hii nayo nadhani inatakiwa iwepo katika list
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kutokuwa na uwezo wa kuzaa!

    Mi napita tu, ngoja wenyewe waje watachangia kiustaarabu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba updates

    Nawasalimu wana jf wote, naombeni updates kuhusu major reshuffle immigration aliyoahidi mh waziri Nahodha je imeshafanyika? If so je kuna mabadiliko yoyote ktk idara hiyo nyeti. Naomba kuwasilisha Ombi kama hauna value adding comment ipotezee
Back
Top Bottom