Recent content by MDANGANYWA HUYU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango Malecela awa bubu ghafla

    Mkuu huyu mama ni nyoka mwenye sumu mbaya na anaweza akawaua watz kwa unafiki wake. Yeye ndiye aliyepewa hela na mafisadi ahonge vijana kule Mbeya- Kiwira. Na asingeshtuka vijana wa Kiwira wamechoka walitaka kumbaka. Pia huyu mama kumbuka walipewa mihela na mafisadi ili mumewe agombee urais...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

    mkuu hii mbona cha mtoto. Unajua gharama ambazo mapepo anayotembea nayo yanalipwa. Muulize pepo wake mkuu lukuvi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa nchi mbona kimya umesaini tu basi?

    Mie nataka hiyo copy iliyosainiwa. Mwenye nayo awekeke hapa
  4. M

    JamiiForums Tanzania The Costitutional Review Act

    Dear readers, any one with copy of the constitutional review act signed by he the president of united republic of tanzania, please post here so that we can see what was added there in by the parliamentary committee. Especially the setback clauses which said to be added u/s 19 to 21.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muswada wa kiswahili wa mabadiliko ya katiba

    Wakuu mwenye nayo aitoe hapa tafadhali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha ardhi Morogoro kimeoza kwa rushwa

    Halmashauri ya manispaa ya morogoro kitengo cha ardhi inanuka kwa rushwa. Kuna afisa ardhi mmoja anaitwa lusekelo anapora ardhi za wanyonge kama yeye ndiye mwenye ardhi. Kila ofisi katika manispaa hiyo wanamjua lakini cha ajabu yeye ndio anaendelea kula maisha tu. Amedhulum viwanja kumi eneo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimeikodi helikopta bila kushauriwa wala kuelekezwa na Jussa wala Hamad Rashid - Mtatiro

    Mkuu naona hata sahihi zako zinatofautiana katika nyaraka zako. Au kuna mtu ameigiza?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Mkuu hesabu naona zimewapiga chenga. Kwa haraka ccm wana jumla ya 5975 na cdm wana 4692. Tofauti ni 1283. Hivyo kama matokeo ni hayo ccm wamwshinda
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shimbo afungua chuo kikuu cha JWTZ

    Wakuu habari zilizopatikana ni kwamba Shimbo hakulazwa SA. Ila alipopata habari inasemekana ni kweli pressure ilimpanda, hakupelekwa SA wala Hospitali yao ile ya Lugalo, alipelekwa ile ya usalama wa taifa ili askari wasijue. Habari zaidi zinasema pesa alizokutwa nazo zinatokana na yafuatayo: 1...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya CCM wananchi wataamua...

    Kauli hizi zinatolewa na wabunge wa viti maalum ambao ndo wamejaza bunge. Wanachofanya ni kushangilia pumba hata kama mbunge anashukuru kwa kugongwa vizuri na mumewe, wao wanashangilia na kupiga makofi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

    Mkuu kweli wewe nakukubali. lakini twende mbali zaidi hatua za dharula kuasha watanganyika zichukuliwe. Mojawapo kuungana wote bila kujali vyama kudai nchi yetu. Kwani wenzetu wameshiba.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa JK zasababisha Bushoke kuzomewa tamasha la Fiesta

    mkuu nakubaliana nawe, kwani katika uchaguzi wa 2010 nilitaraji dsm wangefanya mabadiliko ya msingi. Lakini cha ajabu wakawarudisha hata akina makongoro
  13. M

    JamiiForums Tanzania Swali

    Issue ni kwamba sasa tunataka mabadiliko. Everything too much is harmful. Sasa hivi wana magamba wanajiona ndio wana hati miliki na nchi hii. Wapishe hata wengine. Tumechoka na mawazo mgando
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wana Tabora kumlilia Rostam na siyo Selelii! Wana nini?

    Wakuu lakini inasemekana ra alikodi watu wa kulia
  15. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya jf

    Wakuu mie ni mgeni katika huu mtandao. Naomba mnisaidie namna ya kuweka avatar
Back
Top Bottom