Sasa wewe ulianzaje kutumia pep...kwan ulikuwa umeshazini nae? Maana nijuavyo pep yakipita masaa 72 baadae ya tukio hatarishi la maambukizi kutokea...uhakika wa kuzuia maambukizi unakuwa negligible! Kwa hiyo nakushauri ukapime tena baada ya miezi mitatu.
Enyi wanaume walevi na malaya... ni nani aliyewaloga? Dada mtoa mada, kwa kweli nakupa pole sana mamy kwa kuwa mwanamke anapoamua kuolewa na kuishi na mume lengo kubwa ni kutengeneza familia na pia kuishi maisha ya furaha. Nakushauri umuombe sana Mungu akupe ujasiri na hekima ya kuishi na mume...
Mkanda wa jeshi au 'herpes zhoster' ni ugongwa unaosabanishwa na herpes viruses. Kwa kawaida mtu hasa mtoto mdogo anaweza kuugua ugonjwa unaosababishwa na virus kama surua, kwa kuwa virus huwa hawafi wanakuwa na kawaida ya kuwa dormant hivyo huenda na kukaa kwenye dorsal column ya uti wa mgongo...
Hiyo ni ointment, wakati wa kuitumia muhusika anatakiwa kufungua jicho lake na kuminya kiasi kidogo. Then anaweza kupumzika kwa dkk kadhaa kwa kufumba macho ili dawa isambae vyema.
Post sent using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.