Recent content by Mdadisi halisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maskini Zitto Kabwe-Rasimu ya katiba yamtupilia mbali Urais!

    Ujana,uzee me sijali ninachofahamu nilwamba urais ninafasi ya kuchaguliwa, na katika kuchagua lazima mchaguaji ajiridhishe kwa kile anacho kiona bora zaidi hii biashara ya sijui kwenda disco kuruka fensi kutafuta totoz ni hulka na tabia ya mtu hivyo katiba iangalie usawa na maslah kwa taifa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)

    VUNJO SEKONDARI 1=0,2=11,3=30,4=1 dah!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    Haya ni mambo binafsi siingilii mimi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha:Hii imekaaje wadau wa Siasa?

    Those kids are forced to support ccm unwillingly so we have to shout so that they can stop to use our children to populize their party
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta male friend

    Ushampata? Kama bado nipo kwa ajili yako nipo Moshi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Matombo, Rombo, Machupini
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sema chochote kuhusu wachaga

    Wapenda chapaaaa hao kama akina Makundi Wanaduka la jumla pale moshi na Fuso lakini.. Pesa tu Meku
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiii

    Dah! Wana jamvi habari zenyu? Me ni kamgeni hatakutumia hili jamvi me mgeni yeyote alietayari kunifunza
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita 2013

    And dat we ar waiting for how long will we carry dis baden on our shoulder bhana let them release tha result
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu mama wa kambo

    Mimi nimelelewa na mama wakambo me sijui kama hawa mama wakambo wanafanya wayafanyayo kwa kupenda au ni nature ya viumbe vyote. Ilinilazimu kusoma nikiwa mtu mzima sababu ya adha za mama wakambo nimeishia darasa la tano mwaka 1991 na sikuendelea hadi mwaka 2007 nilipo anza form 1 na nina subiri...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 results.

    Tumefeli but matokeo bhana tujijue
  12. M

    JamiiForums Tanzania Victor Ambrose ndie aliyerusha bomu kanisani !

    Dah! We are going very far jamani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Victor Ambrose ndie aliyerusha bomu kanisani !

    Watanzania tuwe na subira tusinyoosheane vidole wakati huu.the truth will come out very soo. But saying Victor! There's so many things ask there
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama huwezi utani usifungue hapa.

    Yacheki kwanza yamekomaa hadi kope za macho zinalia kobo kobo
Back
Top Bottom