Mkuu,
Kardinali Pengo ametoa tamko kuwa saga hiyo sio issue ya kidini ila kuna msuguano ndani ya Jimbo hilo la nani hasa ataongoza kanisa hilo.
Sisi tunamsikiliza zaidi Kardinali Pengo maana ndie mwenye ukweli wa mwisho kutoka katika vyanzo mbalimbali juu ya saga hilo tena tamko hilo kalitoa Radio / Tv Tumaini jana saa 2 usiku katika taarifa ya habari.
Umesikia kanisa katoliki linaweka viongozi kama KKKT au Anglicana? kanisa katoliki linautaratibu wake ambao kila muumini ana ridhika na viongozi wanao chaguliwa kuanzia ngazi ya jumuia ndogo ndogo mpaka ngazi ya kigango,parokia,jimbo na kanda husika.
Mchana mwema na pole kwa jamii yote;
Samahani kwa sintofahamu za wengi Lakini Balaa hili linatuGUSA wote. Ndugu Lorah kwa huzuni na simanzi tupo pamoja na wote tumeathirika. hayo yote yalosemwa au kukadiriwa na wachangiaji humu kuJF ni hisia za watu wachache sana, na mawazo yao tu ..Na siyo tamko la dini ya kiislamu au mmafundisho ya waiIsalamu. Amini wapo kundi dogo mno linatumia agenda zao na njama za ki-sh-en-zi (aiybu tupu kwa dini) na uhuni wao kwenye mgongo wa Dini ya kislamu.. Ambayo Dini hii ni (iNNOCENT) pure and clean to humankind. Mie kama ni mmoja wawaumini niakuthibitishia kuwa wapo wahuni wasiyo ogopa mungu wala kuheshimu mwaongozo wa imani za dini, huwa wanajificha katika kivuli cha dini. Tunaiomba serikali ichukuwe jukumuu la kuwa ngo'a na kuwa kashifu hadharani, kwani hao wahalifu ndo walotufikisha hapa na kutupakazia matope kwa kutumia jina la mungu na dini yake.... Again nasikitika kusema tumeguswa sana na tukio la ugaidi huu usiyo na tija la aina yeyote. kama siye ni wananchi wenzenu naomba tuvumiliane na kushirikiana lisiendelee na kulikomesha papo hapo!! God forbid.
Udugu uendelee watanzania. amen
Ndg life is Short naona unajitahidi kuhoji kwa hisia kutetea "innocency" ya hiyo dini yako. Waislamu wanaoongea kama wewe muda huu naomba wanijibu maswali haya: mlikuwa wapi muda wote wakati mbegu ya chuki inapandwa????? wapanda chuki mbona walitumia mihadhara ya kidini na misikiti hiyo hiyo? Wewe na wenzako mnaotaka mjulikane sii kati ya hao unaowaita eti "wachache", mmetoa ushirikiano gani ili kufichua magenge na vituo vya mafunzo ya kigaidi vilivyotapakaa nchini - Tanga, Same, Arusha, Ukerewe na kwingineko??? Mbona hatujawahi sikia mseme hayo mafunzo ya ugaidi mnayalaani? Mbona hamjawakana hao waliokuwa wanawapandikiza chuki? Ninapokosa majibu ya maswali haya nawaona ni WANAFIKI TU!
wale wasaud wataachiwa tu,wao wamekamatwa sababu baada ya tukio arusha ilifungwa kila anaetoka ilikua mpaka achunguzwe.sasa kwa sababu ya uarabu wao wakawa suspected.

Si ndo ile mitizamo ya kuwa kila ugaidi lazima ufanywe na muislamu.sasa hawa waarabu ilikua rahisi sana kuwa suspected.
Waziri mkuu katuöngezea jina kati ya wale watz wanne waliokamatwa yupo victor,vilevile jina Joseph limetajwa bila ubini.
This is invented lie zokka and allies trying to fool Tanzanians, issue kubwa ndugu zangu ambayo serikali na chama chao iliyowakamata ni Ujangiri wa katibu mkuu wa CCM,maana wanajua Chadema wakiendelea kuisambaza kwa umma wamekwisha.
Watanzania kuna watu wanatuchonganisha maana wadau wengi hawakutaka kusubiri ukweli na walichotaka wao ni Sheikh Ilunga tu akamatwe kana kwamba Sheikh Ilunga ana ugomvi nao !!
Zimefika zile nyakati ambazo kuwa MUISLAMU ni zaidi ya kushika koo la moto !
Mimi ntaendelea kujitambulisha kwa dini yangu kama mkiihitaji kama Muislam na wala sitaogopa kitu...Endeleeni kuwafitinisha Waislamu na Tanzania yao kwa maslahi yenu !
Ndg life is Short naona unajitahidi kuhoji kwa hisia kutetea "innocency" ya hiyo dini yako. Waislamu wanaoongea kama wewe muda huu naomba wanijibu maswali haya: mlikuwa wapi muda wote wakati mbegu ya chuki inapandwa????? wapanda chuki mbona walitumia mihadhara ya kidini na misikiti hiyo hiyo? Wewe na wenzako mnaotaka mjulikane sii kati ya hao unaowaita eti "wachache", mmetoa ushirikiano gani ili kufichua magenge na vituo vya mafunzo ya kigaidi vilivyotapakaa nchini - Tanga, Same, Arusha, Ukerewe na kwingineko??? Mbona hatujawahi sikia mseme hayo mafunzo ya ugaidi mnayalaani? Mbona hamjawakana hao waliokuwa wanawapandikiza chuki? Ninapokosa majibu ya maswali haya nawaona ni WANAFIKI TU!
Nijukumu langu kama RAIA mwema nihuzunike na nipate uchungu kwa hisia zote:- MojakwaMoja sintotetea niAmini usiAmini naomba ufungue kanafasi kifuani upoke majibu ya haki na yenye kutoka kwa vitabu vya haki:
1. Uisalamu ni kuamini na kushuhudiya (ALLAH) mungu ni mmoja wakuabudiwa. Kwa hiyo kwanini tupandikize chuki za kishetani?
( hatuna sehemu moyoni na kiimani kuweka UOVU waina yyte. iLa kutii na kumuabudu ALLAH )
2. Misikii yote ni sehemu ya ibadaa na (hujulikana nyumba ya kuabudu Allah) Ndani ya misikiti hatuna maduka, kuna jamvii na misahafu tu, Maji ya kutawadha yapo pembeni. Al-muhadhara ni mada ya kukumbushana kufanya MEMA na Kukatazana MABAYA ili ALLAH (mungu) akubali yetu na atupe kheri na baraka zake.
3. Hatuwezi kuweka Dola ingine juu ya serikali na nguvu zake zilivyo ili tulinde au kuzui magenge (unayoyaita wewe) au vituo (pia umevitaja wewe) ambayo hatuna kithibitisho maalum. Huo ni nafikiri kuna WIZARA ya NCHI na idara za INTELIJNSIA hiyo ni kazi yao UFANISI wa serikali UTATAMBUA kabla ya mimi na wewe kuwaelekeza wapi waende.
4. Umesha wahi kusikia siku ya ijumaa kwa waisilamu ni ibadaa ya adhuhuri!! hapo kunasomwa HOTUBA ya kila wiki(WEEKLY SERMON) mawaidha ZAIDI na UHAKIKA ina lenga KUTENDEANA UAMINIFU,UHALALI WEMA,NK. na kukaripia UFUSUKA, UOVU ,UFISADI na mengi ya yasiyoambatana na mafunzo ya DINI hii ya msamaha. AMIN
5. SOMO na HOTUBA za kuLAANI zipo katika kila SALAA (prayer) tano za siku; husemagwa hivi, "3UDHU BILAHI MINA SHEYTWANI AL-RAJIIM"
Wandugu zetu sheria za kimataifa yote ni kila mmoja awajibike na watoto wake na wanawe, ikiwa kosa la wachache au wahuni ( wenye sifa mbaya ) Musichanganye au KUJUMULISHA (GENERALIZATION) na Umma wa SALAAM na AMANI. hao wahalifu watiwe nguvuni na SHERIA ifuate mkondo nasi hakuna wa kuwa tetea wala kuwafuata.
Naamini nimekuridhisha ili tuweze songa mbele na kurekebisha ya kiURAIA. Dola nayo ijihusishe kikatiba.
Al-SALAAM liman Taba Al-HUDA. ahsante
Kumbe upelelezi umeshakamilika? Maana kumtaja mmoja wa watuhumiwa kwa jina kama ni Victor Amrose na kuwaficha wengine kwa madai kuwa kunaweza kuharibu upelelezi kunazua maswali.
By Nyetk

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.