Recent content by Mdada96

  1. Mdada96

    Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

    😂😂😂😂😂😂😂😂
  2. Mdada96

    Various Posts at Ifakara Health Institute (IHI)

    Wewe kama mm sijui nakosea wapi
  3. Mdada96

    TANZIA Pengo lingine kwenye tasnia ya muziki wa bongo Fleva. Richard Ramadhan Tunda afariki dunia

    Kwakwel mpk alkua haelewek🥹🥹na alkua anakataa anasema hajawai kua mweusi
  4. Mdada96

    Mishahara na kazi za PCCB Tanzania zipoje kwa elimu ya form VI

    😂😂Ajira anayo na anatamba nayo daaah I nchi I uku wengine ndo kwanza Ata ku apply bado
  5. Mdada96

    Umeshawahi kukutana na Boss mwenye tabia gani ya ajabu?

    😂😂😂aka thread kazuri Sana sema hakana wachangiaji bado
  6. Mdada96

    Vijana mnakwama wapi? Kuna kijana nilimuunganisha ajira hata asante hajanipa anataka nimtafutie ajira sehemu nyingine sasa

    Jambo kama shukrani ni tabia ya mtu ya ndani sio kabila wala kikundi cha watu ...sema mimi ni wa kusini watu wa kusini tuna kakiburi flani iv na kwa asili Ka uvivu kamo cha kutaka mtu akubebe kla mahala sema sio wote ila asili ya walio wengi 😍😍Kuchidachi wamakonde wenzangu.
  7. Mdada96

    Huu umeme wamekata nchi nzima?

    Bahari beach umeme hamna
  8. Mdada96

    Kila nikileta beki tatu mume wangu anatembea nao, nimechoka

    kama huna ushauri wa maana kwa uyu mwanamke usiongee chochote nimekuona hadi kwa idi makengo pole sana ...mpka nakukuta sehemu mbili mtandaoni unaomba msaada wa dhati natamani upate wataalamu wa mahusiano na ushauri wakusaidie swala lako. ila nitakushauri uzingatie sana AFYA yako ya akili ndo...
  9. Mdada96

    Nafasi za kwenda kufanya kazi Saudi Arabia zilikuwa ngapi?

    sio kweli tulioapply tusipgiwe apigiwe ambae haja apply na zlkua 500 muamko ni mkubwa tu
  10. Mdada96

    Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

    naona adi Facebook umeomba ushauri ila umekosea omba radhi
  11. Mdada96

    Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

    shukrani ila sidhan Kama serikalin yaweza tuuza iviv..ngja tujarb bahat
  12. Mdada96

    Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

    Sasa nikiwa kama muuguzi ninaetamania nafasi Izo za saudi 500 unalpi la kunishauri
Back
Top Bottom