Nafasi za kwenda kufanya kazi Saudi Arabia zilikuwa ngapi?

Ngasere45

Senior Member
Dec 31, 2022
149
565
wakuu leo kuna rafiki yangu wa kike alisomea unesi leo kapigiwa simu na TAESA wanamshawishi akafanye kazi Saudi Arabia kwani zile nafasi hazijajaaa mpaka leo? Au muamko ni mdogo, kwani walikuwa wanamshawishi kwamba huko hakuna ukatili na kuna mazingira mazuri ya kazi
 
Back
Top Bottom