Hivi unafikiri Ile auding ya BOT ina lolote la kufanya? Wanacheck to kama makabrasha yapo lkn bwana sisi tunaokaa na wateja nankuona transactions kwenye acc zao ndo tunaujua ukweli!mtu anakwambia labda anafanya biashara ya mafuta lkn hakuna uhalisia kati ya biashara anayofanya na pesa inayopita...
Habari za jioni wadau, nimesikitishwa sana na mtoa mada kuwaita watu waende nbc kutoa malalamiko yao lkn wakaishia kutoswa!ningeomba uongozi wa JF umchukulie hatua as ametudanganya!lkn pia ningeshangaa sana kama uongozi wa hiyo benk ungemsikiliza mtu kama huyu ambae anaonekana kabisa akili zake...
Mimi si banker tena, ninafanya kazi nyingine kabisa!pole sana adress bankers instead of me!halafu si kila anaekuja kulalamika hapa ni mmkweli!
nakubali kabisa swala la customer care hapa bongo ni sifuri!ila ni kwa campuni nyingi sana hasa huku serikalini tunakofanya kazi!
Mhhhh kelele nyingi sana lkn mambo ya msingi hamyakemei, rushwa kila kona, wizi wa wazi wazi kwa baadhi ya watumishi wa serikali lkn yoote hayo hamyaoni unalalamikia kitu kidogo tu!kwanza sema hapa unataka kuweka sh ngapi? Na watu wenye kelele kama huyu ndo unakuta anaweka laki tu kwenye...
Mimi nachosema mheshimiwa amalize muda wake salama.sie tumegundua tulifanya makosa makubwa sana kwakweli!kesho nasubiri mahubiri ya mchungaji mmoja hivi maana hata jpili ile aliongea sana kuhusu kuidai Tanganyika yetu.najua kesho atanail haki ya nani!halafu kuna faida zozote sisi bara tumezipata...
Pole sana ndugu, yoyote unayopitia jua yuko Mungu alietuumba yeye ndie msaada wetu.nakushauri omba sana na usome vitabu vitakatifu matatizo yako yataisha!
Mmhh mimi ni mwanachadema lkn kwa hilo namba moja nakukatalia sio kweli!watt wote wa mgimwa wamezaliwa hapa Tz.mimi nimekua nao walikuwa majirani zetu na pia family friend hukooo mkoani nyanda za juu kusini!kama kweli hilo mmelipeleka mahakamani basi mtashindwaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.