Recent content by mdachi khan

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Aanze kushinda j2 kwanza afu utakuja tuongee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

    Huyu kachafua brand mashabiki wa arsenal hawajawahi kuwa mazwazwa kiasi hiki
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Labda ni kweli unachosema lakini ni kwa zama zile niambie baada ya Ronaldinho gaucho mbrazili anayefanya vitu kama vyake? Utagundua ni zama
  4. M

    JamiiForums Tanzania Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

    Watoto unaowalea huwa wanakutii wote na kufanya unavyotaka?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

    Sio lazima kufanikiwa kwa mali wapo ambao wanaamini wanafikiria kwa ukubwa nb wanamaanisha wamefanikiwa kutambua zaidi ya wengine
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

    Mi sidhani kama kuna mtu anamashaka na anachokiamini ukiwa na mashaka na imani yako tafuta ukweli ukiona mtu anapaparika kutafuta huku na kule maana yake alipo hajatosheka ila waliotosheka wametulia na dini zao tusitafute umaarufu na kuonekana tunahoja kwa kuhoji imani za watu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Mtu wa kwanza alitokea wapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Asante mleta mada ila umetusaidia kujua jinsi wanafika ndogo hoja yao ni kwamba haonekani ila kuna mengi hawayaoni but wanayaamini [emoji119]
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

    Ndoa inamambo mengi sana but level ya ndoto zako kuifanikisha isitofautiane pakubwa na mumeo then itatimia ikiwa beyond either mtaachana au utaiacha ndoto iendelee kuwa ndoto
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

    Itoshe kusema hizi zilikuwa ni jokes za scientist ambazo watu walizichukua serious
  11. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Narudi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Kwahiyo yule mzazi alielipa ada ya mwaka mzima atarudishiwa ile 100000 iliyokuja kama punguzo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa redioni/Tv kipindi cha Corona,wanafundisha au wanatusomea?!

    Unaeza kuwa sahihi pia unaeza kuwa wrong kwasababu leaning pia ni process ina walengwa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mahari ya Single Mom

    Hakikisha baba wa mtoto alishafariki maana huwa hawakatai Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha majanga kama Corona, utamjua Rais aliyechaguliwa na watu, kwa ajili ya kuwatumikia watu

    Nafikiria tu kolabo ya kenyata na Jk Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom