Recent content by mcs

  1. mcs

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ndege ya ATCL inayoshikiliwa Afrika Kusini kuanza kuunguruma leo nchini humo

    Tumwombe Mungu kila upande upate hali yake
  2. mcs

    JamiiForums Tanzania Ajibu aigomea TP Mazembe Sasa kuelekia Simba SC

    Amechemsha sana
  3. mcs

    JamiiForums Tanzania Pengo la Ruge Laanza Kuonekana Clouds TV: Clouds 360, Yafanya Michezo ya Hatari!. Yarusha Live Kitu Hatari, Jamaa Anatafuna Chupa, Viwembe Live!.

    Mimi nadhani huyu mla vyupa ni mazingaombwe. Hakuna kipaji hapo huwezi kuwa na kipaji cha kukalia ncha ya msumari
  4. mcs

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Tamthili zimerudi nyuma veepee
  5. mcs

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati tamthiliya ya Sultan isitazamwe na watoto, inawaumiza

    Hata startimes kuna picha nyingi zinarushwa mchana mabusu kibao. Mamlaka husika zifanyie kazi
  6. mcs

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

    Nawahurumia sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mcs

    JamiiForums Tanzania Mipango ya siri ya upinzani kuomba uungwaji mkono 2020 na Makanisa na Misikiti yafichuka

    Hujaipanga vizuri rudia tena. Omba usaidizi wa kibajaji na mzukuma Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mcs

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ajiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Maliasili na Utalii

    Tazama ramani utaona nchi nzuri yenye mito na mabonde mengi.... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mcs

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sarafu Yetu Tanzania

    Safi sana historia nzuri saana hii Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mcs

    JamiiForums Tanzania Kwanini usukani wa gari haukuwekwa katikati na badala huwekwa kushoto ama kulia?

    Zinaitwa side mirrors siyo sight mirror
  11. mcs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke ni SURA na UMBILE, sio tabia, tuache kudanganyana!

    Ni kweli kabisa
  12. mcs

    JamiiForums Tanzania Mlinga: Wakufunzi vyuoni wamegeuka madume ya mbegu, wanafunzi wa kike vyuoni wanapata shida mno

    UKITAKA KUJUA AKILI YA MSWAHILI INAWAZA NGONO SEARCH GOOGLE MANENO YAFUATAYO UTAISHIA KUCHEKA hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii--- 1---------------------- university students --------------------------- 2------------------------ Wanafunzi wa VYUO-----------------------------...
  13. mcs

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wanaswaga ng'ombe zaidi ya milioni 50!

    Tena wewe ndio lile li ng'ombe lililokatika mkia kabisaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom