Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

kwan maneno ndio vitendo, kama wao wakisema arafu serikali ikawapuuza si ni sawa na kum'beza mtu anaekusengenya, me siamin ktk maneno bali vitendo, labda kuna mengine mengi zaidi ya haya yanayosemwa labda lisu na zitto watakuwa wananena mambo adhimu kuhusu ukweli wa mambo kuhusu rasilimali zinavyopokonywa. Ila kama ni ya wao kusema acha waseme maana hakuna maneno yanayo ubomoa ukweli daima..


mimi sio mwana siasa ni mtazamo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanyi mnapaswa kujibu mashambulizi kwa kujenga hoja!
Hoja muulize Hassan Ngoma Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge? Uzalendo ni kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani? Uzalendo ni kutafuna trilion 1.5 kisha kumtisha CAG? Uzalendo ni kuwaita boss za Barrick wanaume kisa wameenda ikulu kutoa ahadi feki? Uzalendo ni kuwaita wazungu mabeberu pindi wakiongea na Wapinzani? Lazima wakiongea na CCM huitwa wafadhili na Nchi rafiki
 
Kila nikikukumbuka kipindi kampeni ya kumchangia Lissu hiki kituo pendwa kilivyokuwa busy na Mambo yake utadhan hakikuwa kinajua kinachoendelea najikuta napata shida kumchangia boss wao.....
Mungu ampe uzima Lissu na Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya Ruge ni kada kindakindaki wa chinichini wa ccm, na asingeweza kuweka program hiyo ya kumbeba Lissu. Si unaona hadi alichangiwa million 50 na Magu.


Mikakati mingi ya kuua upinzani kwa kutumia media wanamtumia yeye kama programmer

T
Anyways, tumuombee kheri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stupid people
Lissu ana visa ya kukaa Belgium eti kanyimwa visa ya kwenda Ujerumani.
Ukiwa nyanya kweli ni nyanya kabisa.

Ukiwa na Visa kukaa Belgium inakuruhusu kwenda nchi zote za EU kasoro Uingereza na Ireland.

Ujanja wa siasa za Manzese kuupeleka siasa za Ulaya. Aibu sana
It is called schengen visa.
 
Hassan ngoma alipewa kitu na Le mutuz akamwekea kwenye kinywaji siri ilivuja kitambo huko clouds wote wanajua Sinema yote ikiwemo Hassan ngoma kuhitaji cheo cha Ruge au magufuli amzawadie Katibu Tawala au mkurugenzi au U-DC kajitoa fahamu zote akiwa na lengo la kukwaa uteuzi.
Mm sipo ilichosema ni hirizi yaho mengine yanahiyaji uthibitisho mm na Mshana jr tuko zaidi kwenye manbo ya mizimu na tumeshTuma Watu wa african insuarence kufanya cou ter attack missiles
 
Kwa hilo wamelikoroga tuna jamaa/ ndugu zetu, wanashida na wanatuhitaji nothing special kwa huyo jamaa yao wanetaka tunamchangie
 
Acha ushamba wako toka kolomije, mwambie aruhusu mikutano ya siasa uone moto wa Wapinzani, hakuna uhuru wa kufanya siasa mnakandamiza demokrasia iweje Wapinzani waonyeshe uwezo wao? Uzalendo ni kutafuna trilion 1.5 kisha kumnyamazisha CAG? Uzalendo ni kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge? Uzalendo ni kununua ndege kwa bei kubwa kifisadi kula 10% kwenye miladi yote mikubwa? Uzalendo ni kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani?
Miladi=Miradi
 
Watangazaji wa Clouds tv wamewashambulia vikali wabunge Tundu Antipas Lisu na Zitto Kabwe kwa kubeba ajenda za taifa na kuwapelekea mabwana zao wakoloni huko ulaya.

Wamedai kuwa baada ya Lisu kuichafua nchi huko UK na Marekani na kukwama kwenda German ambako amenyimwa visa sasa amemtuma Zitto akakamilishe misheni hiyo iliyokosa uzalendo.

Waandishi hao Ngoma na Sasali wamewaonya wanasiasa wa Tanzania iwe CCM au wapinzani wasitake kuwalazimisha watanzania wote kuwa wanasiasa kwani kuna watu wengine kwao siasa ni dhambi.

Ijumaa karim
Maendeleo hayana vyama!
Kipindi wanachopita nikigumu wasijichanganye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom