Recent content by Mchukia unafiki

  1. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA watikisa Geita

    yaaah!..ilikuwa ni nyuma jirani kabisa na kituo cha polisi Masumbwe Wilaya mpya ya Mbogwe nilikuwepo live. Ukawa wana hoja za msingi tuache ujinga
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa athibitisha kuwa hati ya muungano haipo umoja wa mataifa

    nilikuwepo live ni kweli haipo kwa ushahidi aliousema Dr Slaa na zaidi sana alivujisha mpaka siri za mpango mkakati wa CCM kabla ya kuendelea na Bunge la Katiba kwa kutumia Ipad yake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia

    habari imejaa maruweruwe hii
  4. M

    JamiiForums Tanzania TB Joshua kiboko!

    anatabiri majanga tu unabi wa hivyo lazima uchujwe. kwa nini mabaya tuu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Basi la LEINA TOURS Kufika Kahama saa 12:00 Jioni kutokea DSM je ni halali?

    Kisbo mnaipata????Leina na Kisbo sipandi ni gari zinazoendeshwa Rafu sana unawahi nini?
  6. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Geita(Mbogwe) idara ya secondary kama nataka kwenda Moshi # yangu ni 0759449706
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    The Power of Positive Thinking-Dr Norman Vincent Pealle.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Binti miaka 16 atoa siri za freemason

    Malkia?...very awkaward stupidy
  9. M

    JamiiForums Tanzania "Renew" kwa kiswahili tunasemaje?

    Radidi upya
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Wachaga Hakuna anaefaa ubunge zaidi ya Mrema huko Vunjo

    Najiandaa kwenda kugombea huko karibuni msijali
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unajibuje hili swali wakuu ukiulizwa, WHO ARE U?

    I'm who I'm..who are you too?
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM walibadilishwa na kardinali pengo - serikali 2

    Huu uzi unachefua umekaa kipumbavupumbavu sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Irkisongo sekondari wanashurutishwa na viongozi wa elimu Monduli.

    Amueni maamuzi magumu ya kitaaluma huu siyo wakati wa kulalamika tena
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa veta inawahusu

    Wewe unaitwa nani?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nikitu gani kinakufanya usiwe na mpenzi, kuolewa au kuoa tukutane hapa!

    Najaribu kuangalia acc. Yangu inasumbua
Back
Top Bottom