Kuongeza muda
extend?
Asante ila ujue kiingereza kuna baadhi ya tafsiri ngumu sana kwa kiswahili ndio maana inakuwa ngumu kupata neno moja sababu maana inakuwa zaidi ya moja, naomba nikupe mfano wa sentensi yangu hapa chini kisha uniambiekukarabati na au Kukalafati