UKAWA watikisa Geita

Mh2

Member
Apr 7, 2014
91
95
Jana mji wa Geita umelindima sana kwahotuba aliyoitoa Dr.Slaa.Akisema enzi ya Mwl. Kama MTU afuati mambo ambayo amekua akiambiwa Mara kwa mara,Mwl.alikuwa akiqaita wapumbavu. Hata kinana na wezake no jamii Mona ya with kama halo.
 

Mh2

Member
Apr 7, 2014
91
95
Cheki picha za Jana.
 

Attachments

 • 1401195770109.jpg
  File size
  39.8 KB
  Views
  209
 • 1401195793536.jpg
  File size
  41.4 KB
  Views
  196
 • 1401195815492.jpg
  File size
  37.5 KB
  Views
  192
 • 1401195861173.jpg
  File size
  41.1 KB
  Views
  180

Mh2

Member
Apr 7, 2014
91
95
Ndugu yangu umati ulikuwa mkubwa sasa il a namna nilivyokua nikichukua Pcha ndo maana unaona kama umati ulikuwa kduchu.
 
Mar 5, 2014
93
0
yaaah!..ilikuwa ni nyuma jirani kabisa na kituo cha polisi Masumbwe Wilaya mpya ya Mbogwe nilikuwepo live.
Ukawa wana hoja za msingi tuache ujinga
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom