Binti miaka 16 atoa siri za freemason

Binti miaka 16 atoa siri za freemason

story ya kutunga hiyo!! eti alienda marekani na nigeria, eti siku za screen machi.. eti alikutana na viongozi wa tanzania na wafanya biashara ambao ni ma-freemason - mwee!!!

Dah Watanzania mnajua maneno aisee!
 
Hakuna kitu kama hicho!.Wala hata hana mchango wowote katika masonic,hizo ni juhudi za Wachungaji feki kutrka hisia za watu ili mkatoe sadaka.Mbona hawa huwa wanaandaliwa miez kadhaa kabla ya ushuhuda.SIKU MKIUJUA UKWEL MTAKUWA HURU.
Huenda huko alikoenda ndiyo freemasonry ya kweli, piga zuga hapa!
 
Eeeeh! Kila ushuhuda inapatikana kwa walokole. Jaman achen bas kitudanganya Nigeria kusimikwa mala mikaokoka, nani alokwambia kunakuokoka ukiwa hai labda kama u malaika na hakuna malaika kwenye dunia hii. We binti wa kahama rudi nyumbani ukachimbe viazi na kupalilia mihogo. Uchawi wa bibi ako isituletee hapa na mchungaji wako ulompa huo ushuhuda. -------
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya freemason na huu ushirikina wa kula nyama na damu za watu.tujaribu kusoma vitabu tuwe huru na hawa wachungaji na mitume feki.kwny freemason hakuna cheo cha malkia tena malkia huyu atokee kahama!
 
Nimeshasoma mengi sana kuhusu freemason,ila sijawai kusikia kitu kinaitwa malkia mdogo.
Kwanza najiuliza ni malkia wa wapi?
Na kama kweli angekuwa malkia tungeshamfahamu kabla hata hajatoa ushuhuda wake wa uongo.
 
Hivi anaifahamu Freemasons au anasema tu. Fm hawajiungi watu ovyo ovyo kama hii stori huyu binti na mwandishi wake ni supa wazushi. Freemasons ina kanuni zake na ipo hadharani tangu karne ya 13 hadi leo.
 
Ila shingongo ana story nyingi za kutunga!! Hana lolote mpuuzi tu,
 
Hata mambo ya wema anayoandika ni maigizo tu, wanamlipa pesa
 
Pumbavuu.....!! Unalala mpaka saa nne ya asubuhi wenzako wanaamka sa kumi na moja alfaljiri wanakwenda job halafu wenzio wanafanikiwa kiuchumi wewe unasema eti freemasons .
 
mnatuona sisi mab.w.e.ge sana halaf mwishon mnasema semeni "amen" story ya kizaman sana inazidiwa hata na ile ya watoto waliogeuka mawe au chopeko na mnofu au chozi na mkumbo!!!!
 
U.pu.uzi...akili yangu na masikio vimechoka kusikia habari izo...ala!!!!!!!
 
Back
Top Bottom