Recent content by Mchezaji

  1. Mchezaji

    Nyumba inauzwa na Benki ya Selcom

    uoga wa nini na unaweza kuifanya Air bnb, utengeneze nayo hela.
  2. Mchezaji

    Mliooa au kuolewa na Wanyarwanda tupeni experience

    Yatatu ungesema wao ni makahaba.
  3. Mchezaji

    Nina wapenzi wawili nimuoe nani kati yao?

    Ungetuma picha zao wote, nikuchagulie moja kisha ule atabaki nmchukue.
  4. Mchezaji

    Magufuli alikuwa muongo sana

    apumuzike salama
  5. Mchezaji

    Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Limetutingisha hapa Manyara
  6. Mchezaji

    Serikali ya Lebanon yajiuzulu baada ya mlipuko wa Beirut. Waziri Mkuu asema ufisadi uliopo ni mkubwa kuliko taifa lenyewe

    Serikali ya Lebanon imejiuzulu takriban wiki moja baada ya kutokea mlipuko mkubwa mjini Beirut, huku Waziri Mkuu Hassan Diab akilaumu ufisadi kama chanzo cha ajali hiyo Katika hotuba yake, Diab amesema kilichotokea ni matokeo ya ufisadi ulio mkubwa kuliko taifa lenyewe na kwamba anaachia...
  7. Mchezaji

    Malawi president working to trim presidential powers

    Rais gani Africa mashariki anaeweza kuamka aombe wabunge wake wampunguze nguvu zenye anazo kikatiba? hahaa Sisi hapa marais wetu wote kuanzia Magufuli, Museveni, Kagame, Kenyatta wanashinda siku zao zote ikuluni wakiomba wabunge na mahakama zao wawaongezee cheo. Mtu akijaribu kuingiza mjadala...
  8. Mchezaji

    Malawi president working to trim presidential powers

    Malawi's new President Lazarus Chakwera says he is working on proposing legislation aimed at trimming his presidential powers in an effort to empower the citizens. In his national address Saturday, Chakwera said having a president who makes too many decisions has created problems in Malawi and...
  9. Mchezaji

    Kwaheri rais Donald Trump

    Licha la kudharau maelezo ya madaktari kutoka World Health Organisation kuhusu kulinda wananchi wake dhidi ya maradhi ya korona awali, pia vurugu na maandamano ya wanakundi la #BlacklivesMatter pamoja na #Antifa ndio sababu kuu ya kuregesha wana democratic party na mgombea wao Joe Biden ikuluni.
  10. Mchezaji

    Kwaheri rais Donald Trump

    Huyu hajaikosa katika maishani mwake, matarajio yake yanatendeka vile anakuwa ameyatarajia. Sasa amesema Trump hatafaulu katika uchaguzi wa mwaka huu 2020.
  11. Mchezaji

    Je, hii 'Media Blackout' ya leo juu ya tukio zima la uchukuaji fomu wa Tundu Lissu ndiko kumuenzi vyema Mwanahabari Hayati Rais Mkapa?

    acha kero, citizen washatangaza Lissu collects nomination forms at NEC headquarters in Dodoma
  12. Mchezaji

    What if Mombasa ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Tanganyika n bara mbali na kisiwa cha mombasa
  13. Mchezaji

    Ujumbe wa Museveni: Ugandans should stop going into Rwanda

    President Yoweri Museveni has issued an advisory for Ugandans to stop traveling to neighboring Rwanda, in yet another twist in the ongoing diplomatic negotiations between the two countries. President Museveni this week ordered Resident District Commissioners (RDC) of the districts neighboring...
  14. Mchezaji

    What if Mombasa ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Unaona Comoros iko karibu na Zanzibar lakini ilijitenga, kisha unadhani mombasa ingekubali kujiunga na wabara wa mbali!
  15. Mchezaji

    What if Mombasa ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Unaona Comoros iko karibu na Zanzibar lakini ilijitenga, kisha unadhani mombasa ingekubali kujiunga na wabara wa mbali!
Back
Top Bottom