What if Mombasa ingekuwa sehemu ya Tanzania?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,635
Habar jf
Kwa wasiojua historia it's crazy!!!

This is just what if

Mwaka 1937
British alikua ameshikilia maeneo ya
Mombasa Na Zanzibar
Angalia Raman

images%20(18).jpg

Na tunajua Tanzania n muungano tanganyika na Zanzibar....
Assume Kama Zanzibar na Mombasa zingedai uhuru mapema na kuupewa so ovious ingekua nchi moja ingawa sdhan Kama ingeitwa Zanzibar ....but tuassume ingeitwa Zanzibar
Halafu Baada ya tanganyika kupata uhuru zingeungana Kama ilivo Sasa

So Mombasa ingekua sehemu ya Tanzania!!

Nini kingebadilika Tanzania

-Tanzania ingekua ndiyo nchi kubwa zaidi East Africa

-Tanzania ingekua ndyo nchi ya kwanza kwa idadi ya watu .Kwasasa ~~mil 59 estimate

Screenshot_20200806-201359~2.jpg
As per census ya 2017

Na miji yote miwili mmoja no moja -Dar es Salaam
No mbili Mbombasa yote ikipatikana Tanzania .... Mind you Mombasa city alone n Kama watu milion 1.7
Ukiunganisha na county zinazoizunguka za kwale na kiliwa~~~ almost milion5
Mombasa ya British ilijumumisha izo count mbili so total watu Milion7 ivi approx.

So kwa Sasa Ndyo tungekua na population ya watu milion 65/66
Tanzania = watu milion 66

-Tanzania ingekua ndyo mother of port in East Africa
Ikiwa na the largest water port dar es Salaam
And the second largest water port Mombasa

-Tanzania ingekua ndyo yenye largerst costal line ukitoa Somalia

-Tanzania ingekua ndyo fastest growing Country in East and central Africa above Angola ,Kenya , Ethiopia but behind nigeria,South Africa and Egypt

-Tanzania ingekua the most powerful millitary in Africa above All east african countries Ethiopia,uGanda,Kenya,Sudan and southen Angola hata Nigeria military wasingeona hapa....but behind Egypt
Hapa watu watataka kujua

Kuwepo kwa Mombasa ya mwaka1937 Kama sehem ya Tanzania kungefanya tuwe karibu Sana na Somalia hivo KUFANYA security risk....So muda huu majeshi ya Tz ya ngekua Somalia, pamoja na majeshi ya Ethiopia na Kenya
...Kenya ingepata ahueni hapa....

So Kutoka kupgana na Uganda 1978 na Kuwa katka constant operation za kijeshi Somalia bas Tanzania ingehitaji
Military Navy za kutosha,War plan n helicopters

Kwa kenya!!....
wataongelea wenyewe
Just comment what u think

This is based on assumptions,not political issues .....
Jiwekuu
 
Nauliza tu...
Ni kweli waasisi wetu waliwekewa mt Kilimanjaro na Mombasa mezani? Kwamba ukichagua mt Kilimanjaro unakosa Mombasa port. Ukichagua Mombasa port unakosa mt Kilimanjaro.
Kwakweli mkuu hapa na mim shule inapelea
Labda watakuja wanaojua
 
Mkuu hujui kwamba Tanzania ndio nchi kubwa zaidi Afrika mashariki?
 
Nauliza tu...
Ni kweli waasisi wetu waliwekewa mt Kilimanjaro na Mombasa mezani? Kwamba ukichagua mt Kilimanjaro unakosa Mombasa port. Ukichagua Mombasa port unakosa mt Kilimanjaro.

hivyo vitu vilifanyika katika mikataba ya wakoloni kuhusu mipaka ya makoloni yao, waasisi wetu walitakiwa tu kuheshimu mipaka waliyoachiwa na wakoloni baada ya nchi zao kuwa huru
 
Nauliza tu...
Ni kweli waasisi wetu waliwekewa mt Kilimanjaro na Mombasa mezani? Kwamba ukichagua mt Kilimanjaro unakosa Mombasa port. Ukichagua Mombasa port unakosa mt Kilimanjaro.
Hakuna Kitu kama icho,
Mipaka yote ilipangwa na wakoloni.

Walisema na iwe Tanzania na kuanzia hapa ni Kenya

Waafrika tumerithi mipaka yote kutoka kwa wakoloni
 
Kifupi hakuna namna ambayo ingefanya Mombasa iwe Tanzania..

Mipaka ya wakoloni yote iliifanya kama sehemu ya Kenya
 
Unaona Comoros iko karibu na Zanzibar lakini ilijitenga, kisha unadhani mombasa ingekubali kujiunga na wabara wa mbali!
 
Mombasa ilikuwa sehemu ya dola Zanzibar, iliyokuwa ikitawaliwa na Oman, kwa muda mrefu Sana kabla Wazungu hawajaanza kuja Africa,
Dola ya Waarabu Ilikuwa inaanzia Pwani ya Msumbiji Hadi Somalia huku Zanzibar ikiwa ndio Makao Makuu

Mjerumani alipokuja aakamuagiza Muarabu siku aachie haraka sehemu yote ya Tanganyika la sivyo atatolewa kwa kichapo, Muarabu akasalimu amri akaki na Zanzibar na Mombasa, kisha baadae akaja kuzikabidhi Zanzibar na Mombasa kwa Uingereza ili asiporwe na Ujerumani Tena

So inawezekana Mombasa ingekuwa chini ya Tanzania kama sio Ujerumani kumfurusha Sultan Omani_Empire_mid-1800s_Map_by_Arnold_Platon_CC_BY-SA_3.0-1.jpg
 
Mi mwenyewe nshasahau.......hivi muingereza alifika pwani yoyote.....?....mreno yeye ilikuwaje......maana nilisikia alikuja pia.....uzee huu.....
Wingereza ilitawala tanganyika na pwani zake
 
Nauliza tu...
Ni kweli waasisi wetu waliwekewa mt Kilimanjaro na Mombasa mezani? Kwamba ukichagua mt Kilimanjaro unakosa Mombasa port. Ukichagua Mombasa port unakosa mt Kilimanjaro.
Si kweli Mombasa was part of Kenya na mount Kilimanjaro was part of tanganyika way back, na Nyerere walikuta ikiwa hivo Mwingereza yeye aling'ang'ania bandari ya Mombasa na Mgermani akachukua Mlima kimanjaro so hyo mipaka iko hivo baada ya scramble and partition of Africa.
Hyo ya waasisi huwa ni uzushi wa waja maana Ugawaji wa Africa ulitegemea zaidi wapelelezi, wamisionary, so Na Rebman alipokuja Kilimanjaro akatuma hizo taarifa kwao.
 
Mombasa ilikuwa sehemu ya dola Zanzibar, iliyokuwa ikitawaliwa na Oman, kwa muda mrefu Sana kabla Wazungu hawajaanza kuja Africa,
Dola ya Waarabu Ilikuwa inaanzia Pwani ya Msumbiji Hadi Somalia huku Zanzibar ikiwa ndio Makao Makuu

Mjerumani alipokuja aakamuagiza Muarabu siku aachie haraka sehemu yote ya Tanganyika la sivyo atatolewa kwa kichapo, Muarabu akasalimu amri akaki na Zanzibar na Mombasa, kisha baadae akaja kuzikabidhi Zanzibar na Mombasa kwa Uingereza ili asiporwe na Ujerumani Tena

So inawezekana Mombasa ingekuwa chini ya Tanzania kama sio Ujerumani kumfurusha SultanView attachment 1529271
Sack natambua vyema kwamba sehemu yote ya pwani ilihodhiwa na waarabu wa Oman ila pia nataka utambue kuwa baada ya wazungu kuja Africa sehemu hiyo ya Zanzibar ikijumuisha Pemba ,Unguja na Mombasa ilimilikiwa na Waingereza na tena si baada ya kuporwa ila kwa makubaliano maalum yaliyofanyika huko jijini Berlin Germany

Heligoland Treaty ya 1890 kati ya Germany na Britain ndio iliratibu makubaliano ambapo Britain watakubali kuichukua Zanzibar na Pwani yote ila wakawaachia Germany Tanganyika pamoja na baadhi ya nchi za Africa kama Togo n.k.

Hivyo basi baada ya vita ya kwanza ya dunia na Germany kuporwa makoloni yake yote na mengi yakiwa chini ya usimamizi wa Uingereza haikuwepo namna ya kuifanya Mombasa tena iwe sehemu ya Tanganyika bali muingereza aliifanya iwe sehemu ya Kenya
 
Wingereza ilitawala tanganyika na pwani zake
Tanganyika was under German East Africa company ( GEACO) pamoja na Rwanda and Burundi baada ya ugermany kushindwa Vita Tanganyika ikawa chini ya Uingereza kwa mda maalumu Kama mandate territory that's why Uingereza hakuendeleza tanganyika Kama mtangulizi wake. Mengine sikumbuki vizuri
 
Back
Top Bottom