What if Mombasa ingekuwa sehemu ya Tanzania?

Sack natambua vyema kwamba sehemu yote ya pwani ilihodhiwa na waarabu wa Oman ila pia nataka utambue kuwa baada ya wazungu kuja Africa sehemu hiyo ya Zanzibar ikijumuisha Pemba ,Unguja na Mombasa ilimilikiwa na Waingereza na tena si baada ya kuporwa ila kwa makubaliano maalum yaliyofanyika huko jijini Berlin Germany

Heligoland Treaty ya 1890 kati ya Germany na Britain ndio iliratibu makubaliano ambapo Britain watakubali kuichukua Zanzibar na Pwani yote ila wakawaachia Germany Tanganyika pamoja na baadhi ya nchi za Africa kama Togo n.k.

Hivyo basi baada ya vita ya kwanza ya dunia na Germany kuporwa makoloni yake yote na mengi yakiwa chini ya usimamizi wa Uingereza haikuwepo namna ya kuifanya Mombasa tena iwe sehemu ya Tanganyika bali muingereza aliifanya iwe sehemu ya Kenya

Heligoland Treaty ilifanyika kati ya ujerumani na Uingereza. Mkataba huu uliweka makubaliano kwamba Zanzibar iwe nchi huru baina ya mataifa haya mawili. Kwamba mwingereza au mjerumani ana uhuru na haki sawa ya kuingia Zanzibar na kufanya chochote. Na hii waliifikia sababu ya kiulinzi zaidi. Zanzibar iko sehemu ya kimkakati baina ya mwingereza kenya na mjerumani Tanganyika. Na hapo kupitia hiyo treaty tunaweza kujifunza kwanini Mwalimu alipambana sana ili kufanikisha muungano. Ni historia ndefu toka zamani huko.
 
Vip kuhusu Morserby treaty mkuu..
 
Naomba uisome vizuri Heligoland Treaty
 
Tanzania ndio ingekuwa sehemu kuu ya Bata Africa Mashariki
 
Mombasa ilikuwa sehemu ya Tanganyika ndio.maana kuna makabila kama wadigo wapo mombasa na Tanga na Kilimanjaro ilikuwa sehemu ya Kenya.
Ni kweli kenya waliwahi kuidai Kilimanjaro lakini rais wa kwanza wa Tanganyika akawaambia wairudishe mombasa kwa kuona watakosa bandari wakafyata mkia.
 
Ndio hivyo mkuu, mjerumani alimuachia mwingereza Zanzibar ili aweze kutawala vizuri pwani ya kenya na kenya in general. Ila bado mjerumani alikuwa na access ya kuingia Zanzibar.
Asante mkuu, kama ndivyo ilivyo nimeweza kuhisi ni kwanini Mwalimu aliungana na Zanzibar. Lakini ikikupendeza hapo tafadhali funguka zaidi tuelimike
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom