Recent content by mchengeli

  1. M

    Upinzani wamejipatia sifa ya utoto bungeni

    Kuna tatizo la msingi zanzibar na yeyote anaepuuza hili na kuwapeza upande wa pili sio mwanadiplomasia. Kauli ya jana ya Mheshiwa Rais ilikuwa ya hasira na haikuwa ya kidiplomasia. Katika hili kuja jambo la kujifunza Rais Magufuli sio Kikwete hivyo mikakati mpya inahitajika ili kufikia muafaka...
  2. M

    Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

    Why on earth you refer on another humanbeing as ""fisi"" and "mizoga"?!! Unaanza anza jeee una wezaje kuwaita binaadamu wenzako fisi au mzoga?! Na kwa kufanya hivyo unategemea kukiuza chama au kukichafua?!!.. Huu upuuzi na upumbavu katika ubora wakee.. tooo low
  3. M

    TAKUKURU itoe taarifa juu ya Hatma ya Milioni 700 za Manji

    Marire Fedha zililetwa hotelini kwa ajili ya kuwalipa wajumbe ili wakamilishe kazi ya kumteua mmoja kati ya wagombea.. Shida ilianza pale mwenye fedha alipogundua jina lake limekatwa akamwagiza muhasibu aondoshe mzigo hotelini, wajumbe wakashtukia movie wakaweka makachero wao wakasema...
  4. M

    Tuna ma-commando wazuri, lakini je tuna Rapid Response Force?

    Ni jambo zuri kuwa na kikosi cha aina hii. jambo la msingi ni je watanzania wa kawaida ambao ni raia tumejiandaa vipi dhidi ya shambulio kama hili?! je tuna elimu ya kutosha juu nini cha kufanya kukabiliana na tukio kama hili?! je pale linapotokea tunajua nani wa kumpigia simu?! tufanye nini...
  5. M

    Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

    very arrogant comment.. ukiwa kiongozi ten msumi uwe na akiba ya maneno... jifunze kutoka kwa yaliyompata Proffesor Anna Tibaijuka na Proffesor Sospeter Muhongo... ni aibuuu kwa viongozi wasomi kuwaa arrogant!!!! Aiibuuuuuuuuuu hata weweweeeeee??!!!!!!?????
  6. M

    Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Kuwa na akiba ya maneno ustaadha, maneno yako yashakuondoshea udhu muda mrefuuu..
  7. M

    Mtanganyika anapokataa kusikia neno TANGANYIKA maana yake nini?

    Kama sikosei Tanganyika ni kijerumani na hili jina halitufai ndio maana tunataka tubadilishe majina ya mkoa wa Tanga, ziwa Tanganika na hata taasisi zote zenye kutumia jina hili mfano Tanganyika Medical Council... hivi ni vituuu viashiria vya ukoloniii na utumwa
  8. M

    'Mzimu' wa Zitto ndani ya CHADEMA wamfikisha Katibu wa CHADEMA, CCM

    Inamaana zitoo akichaguliwa kuwa mwenyekiti chadema huyu kaka atarudi chadema?! Kama unafuata chama kwa sababu ya mtuu tuuu ni hatariii.. wanasiasa wa nchi hii ni wa ajabu sanaa hawana ideology wala phylosophical standing.. ana haki ya kuhamiaa chama chochote lakini si kwa sababu hizo
  9. M

    Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

    Ni ukweli usiopingika ukijishughulisha na shughuli za siasa haswa za upinzani vyuoni unijichimbia kaburii mwenyewe, wengi sana wamefukuzwa
  10. M

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    LEO DR UMEJICHANGANYA SANAAAA! Unatuasa tushabikie chama na si viongozi, wakati huo huo unau-challange uongozi wa CDM kama una busara ufanye makubaliano na Zitto nje ya mahakama kwani wakimfukuza ataondoka na wanachama wengi wanaomshabiki (yeye kama mtu na si chama).. Na umtuangaliza ubaya wa...
  11. M

    Ni Wapi Tulikosea Hili Taifa? Jamani This is 21Cenutry Tubadilikeni Wa-Tanzania!!

    Hiii tabia imeanza kukua saanaa kipindi cha Mwinyi (mzee wa ruksa) ikapotea wakati wa mkapa (mzee wa ukapa) ikarudi tena kwa kasii kipindi cha JK. Ashakum si matusi Mhe Mwinyi na JK wanashabihiana sanaa wote, ni wapole wacheshii na ni marais ambao hawako seriuos sanaa kwenye utendaji wao wa...
  12. M

    Kwanini Ikulu inaendelea kuudanganya ulimwengu?

    Sina muda wa ku-spoon feed soma hizi link Laurent-Désiré Kabila - Wikipedia, the free encyclopedia na Obituary: Laurent Kabila | The Guardian
  13. M

    Kwanini Ikulu inaendelea kuudanganya ulimwengu?

    Hahaha jitahidi kusoma historia kabla ya kuanza ubishii... anamzungumzia Laurent Desire Kabila... Ni baba yake Joseph Kabila.. Si ajabu naye humjui?!
  14. M

    R.I.P Ariel Sharon ( shujaa aliyempendeza mungu kwa kulinda taifa lake)

    Issa Ibin Mariam sio Yesu hawa ni watu wawili tofauti.. usitake ubishii
  15. M

    Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Sitaki kuamini hii ni kauli ya mwenyekiti wa chadema au typing error..., ''vijana wa m4c walikuja''?! M4C ni vuguvugu la mabadiliko 'movement for change'.. hii ni ideology na sio tawi au kitengo au taasisi au ofisi.. M4C inaweza kuwepo CUF, CCM, UMD au CHUONI, shuleni, au kwenye taasisi yeyote...
Back
Top Bottom