Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

Wana CCM tusidanganyike, furaha yaja!

Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.

daah kujifariji ni kitu kizuri sana.
 
Kumbe mnaumia kiasi hiki hadi mnapeana faraja hadharani? Na bado huu ni mwanzo tu.
Hao wanaolipwa ni akina nani? Haya ni mafuriko tu msijipe moyo.
Binafsi nimejitolea kwa moyo wangu kuwasupport UKAWA na Lowassa.

mjiandae kwenda msituni.
 
CCH hatujawahi kuhuzunika unapokuja uchaguzi. Siku zote tunakuwa wenye furaha na ushindi ni lazima
Samahani mkuu, CCH ni chama kipya cha siasa? Nacho kitashiriki uchaguzi mkuu? Kinaongozwa na nani?
 
Mimi nimetapika kabisa kusoma mada ya huyu mjinga,taifa linanuka umaskini kama kinyesi huyu bila aibu anasema ccm itashinda,naomba Mungu afanye muujiza ili oct 25 wana ccm wote wawe wanaumwa akiwemo mwenyekiti wao,nawaogapa sana hawa watu wametuletea umaskini wa kutisha sana.

umskini wenu msitafute mtu wa kumtupia lawama.
 
Haina tofauti na kumkumbatia lowassa wa 4UM political party baada ya kuinunua chadema..bora turudi kwa magufuli tu..

Bila shaka wewe ni mtu wa Tanga. Saizi yako ukihongwa pilau na pombe ya boha, na mkeo akihongwa dera la kijani kura mnapeleka ccm. Shame!!! Ukipita vijiji vya kwenu Muheza ni full absolute poverty!!! Mpaka leo hii maji ya bomba ni ndoto
 
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.
Why on earth you refer on another humanbeing as ""fisi"" and "mizoga"?!! Unaanza anza jeee una wezaje kuwaita binaadamu wenzako fisi au mzoga?! Na kwa kufanya hivyo unategemea kukiuza chama au kukichafua?!!.. Huu upuuzi na upumbavu katika ubora wakee.. tooo low
 
CCH hatujawahi kuhuzunika unapokuja uchaguzi. Siku zote tunakuwa wenye furaha na ushindi ni lazima

Nyie ni vibaka mnaiba kura hamjawahi shinda kihalali!! Wenyewe kwa wenyewe tu kila siku mnaibiana kura za maoni na kugombana!! Mtu hajashinda kama nape ila mwalazimisha goli la mkono!! Sembuse chama kingine, mwaka huu za Lowasa haziibiwi! Ndorobo nyie
 
tena mi ntawasaidia kupost thread 7 kwa siku yani mpaka jukwaa la mapenzi kule Nawepelekea wakinitukana basi ila tu mi niingize mshiko wangu per day
CCM siwapendi maana wanaonea wanyonge, wamewafunga mashekhe wetu bila sababu!! Bado babu seya!
 
Kumbe mnaumia kiasi hiki hadi mnapeana faraja hadharani? Na bado huu ni mwanzo tu.
Hao wanaolipwa ni akina nani? Haya ni mafuriko tu msijipe moyo.
Binafsi nimejitolea kwa moyo wangu kuwasupport UKAWA na Lowassa.

Hata Mimi na familia yangu pia haya majizi yanaofugwa CCM hapanakwa kweli, yamenishinda
 
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.[/QUOT
Waache wapost mkuu siku ya mwisho watakiona cha mtema nkwi ..wamesahau walivyojazana hapa wakati wa Dodoma lakini pamoja na hilo haikuzuia jamaa yao kukatwa ..sisi tupo kimya tushanoa kisu kumkata tena make haridhiki huyu, mara hii tutamkata nyeti zake
 
CCM kwa sasa ni sawa na mfa maji haachi kutatapatapa.
 
Kunamakundi ktk facebook,jamiiforum, twitter, na hata instragram wanafanya propaganda chafu dhidi ya ccm, lakini hatupaswi kata tamaa kukiunga chama chetu mkono. Wao wanalipwa mapesa ktk kufanya hizo propaganda chafu ila cc hatulipwi lakini nilazima tuwe wazalendo kupost kwa wingi ktk mitandao nakuwajibu hawa mafisi maana cc ni simba hatuli mizoga kama mafisi. Tutulie maana mwaka huu ukawa na chadema imekula kwao. Amini usiamin ccm itashinda kwa kishindo.

Lowassa rais wa mitandao
 
Lizaboni tukiweka majaliwa ya Mwenyezi Mungu kando,tukafikiri kibinadamu, uchaguzi upi ni bora: mwema mmoja kati ya waovu 1,000,000 au mwovu mmoja kati ya wema 1,000,000? Pili ni lipi kati ya hayo makundi mawili ni rahisi kubadilika ili ujenzi wa taifa ushike kasi?
 
Back
Top Bottom