Hii imetokea katika club mmoja nchini Uganda baada ya Davido kutoka katika club hiyo na kurudi Hotelini.Davido kwa sasa yupo nchini Uganda.Mwenyeji wake ambaye ni Mdogo wa Jose Chamilion amethibitisha Walikatisha Kula raha Club hapo na hatimaye davido kurudi hotelini.Hata hivyo mwenyeji wake...
Itakuwa na thamani vipi tena...wakati ukienda Lushoto katika hotel za kitalii payments zote nikwa foreign currency sembuse huku mjini.....Utashuka zaid na zaid
Naamini hii ni sababu kubwa ya serikali na watendaji wake kuendesha serikali jinsi wapendavyo.
Sijasikia baada ya kifo cha Marehemu Baba wa Taifa Mwl.J.K.Nyerere Kama Taifa lilimtangaza mrithi au baba mlezi wa Taifa.
Mf,Juzi karika sakata la Escrow nilisikia sauti ya Mama Maria (Mama wa Taifa)...
Jamani naombeni msaada.Mdau ana diploma ya ABE-Uk ya Travel,Tourism na Hospitality Management anaomba kujua waajiri wa hapa nchini wanazikubali?Msaada jamani katika hili.
Watanzania kwa Ujumla tumesikitishwa na bunge kuahirishwa hadi saa 11 ingali mdaa wa kusomwa Report upo.Nakubaliana na usemi wa Mzee Warioba alioutoa jana katka mjadala wa katiba "KUNA CCM IMARA NA MASLAHI.Sikuona sababu ya mdaa uliobaki kuchezewa kihuni huni tu.Cha ajabu Mwenyekiti zungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.