Hivi mafundi cherehani wana laana gani?

Hivi mafundi cherehani wana laana gani?

Mimi nlimpa nguo fundi akasema niifuate baada ya wiki mbili....nlipoenda akawa ananizungusha hadi mwezi ukaisha. Siku moja nikavaa ukauzu nikasema nataka kitambaa changu....akajaribu kujitete ooh nivumilie wiki hii nna uhakika kabisa keshokutwa itakuwa tayari nikamwambia sitaki. Kwa unyonge akanipa kitambaa akanirudishia na hela nliyokuwa nimemlipa. Nikakaa kidogo nikapeleka kwa fundi mwingine...ilikuwa jumapili akaniambia jumatano. Jumatano ikawa hadithi hatimaye mpaka leo napigwa tu chenga nae mwez umeisha af ukimuona hivi very innocent yan. Najuuta nasema bora ningemuachia wa kwanza yuleyule
 
Ha ha pole wewe unapenda umbea sana ila hujui umbea unasaidia sana.
mafundi ngu we mkalie hapo sogoa weeee piga umbea wote ukiishiwa wacheki mashosti zako wakina Dinazarde geniveros wakisaidie mpaka umemaliza na fundi kamaliza kukushonea waijaribisha kama imekufit kisa byeee....
Mie nimegundua huo mchezo(fundi shaban magomeeni mapipa mmbea kishenzy ananishonea express kwa 20,000 kisa nampa umbea...)
Au unam
 
Last edited by a moderator:
Achana na fundi chukua sarawili yako ukavae na mkanda au ufunge pini kuepusha shari....mkuu...
Siku nyingine ununue size yako....
Au mwili wako wa msimu...??
 
Hahaha amu mi nna kelele hapa tu ila mtaani naishi kivyanguvyangu mnoo....sinaga muda wa kukaa kupiga umbea kwa hiyo sidhani kama ntakuwa na umbea wowote wa kumpa mtu hadi amalize kushona nguo
 
Last edited by a moderator:
Wanapenda kufanya kazi za wanawake ili waje wawashike shike ma.t.a.k.o kwenye kuwapima. Ila kama wewe ni mwanaume ni kama unampotezea muda wake tu
Sasa nishike makalio ya brazmen ili iweje sasa?.
 
We acha tu kuna siku nina sendoff ya best frend nikampa fundi anishonee week hola kila nkienda nenda rudi...
We siku nikamuamulia akaishona usiki giza na mwanga wa simu yake ya torch...
daaa halafu inakera ujue wewe umekasirika mwenzako hakasiriki....

umeona eeeh wanakuongelesha stori zao za ajabu mpaka mnuno unaisha
 
fundi cherehani mpe huru wa kushona nguo yako ya kushona siku moja atashona mwaka mzima
 
Nimekuwa nikizisikia tu kero za mafundi cherehani lakini na mimi yamenikuta.
Kuna fundi hapa Sinza Madukani nimempa suruari yangu apunguze kiuno, huu mwezi sasa imeshindikana.
Ilikuwa hivi. Nilipa suruali na hela kabisa ya kazi, akaniambia nifuate kesho yake. Ilikuwa jumamosi, jumapili sikwenda, nikaenda juma tatu, akasema bado. Wiki hiyo nikapata safari ya wiki nzima mkoani.
Niliporudi akasema ndio ameanza kushona hivyo nije kesho yake. Bahati mbaya au nzuri nikapata tena safari. Kurudi baada ya wiki anasema bado hajamaliza.
Jana nimekwenda sikumkuta. Leo nimemkuta eti anasema ile suruali haionekani hivyo nisubiri aitafute leo na kesho.
Hivi nimfanyeje huyu fundi? Halafu ni mtu mzima na heshima zake na ana ofisi kubwa tu!

Ahaaa! kumbe ndio wewe! haya njoo suruali yako tayari sasa.
 
wewe ndio chizi, kwa nini hukwenda kesho yake? kakuona haupo siriaz ndio maana kakuchukulia poa maana na wewe ulijiweka poa
 
Ndio maana huwa wanasema fundi mkweli kinyozi
 
Achana na fundi chukua sarawili yako ukavae na mkanda au ufunge pini kuepusha shari....mkuu...
Siku nyingine ununue size yako....
Au mwili wako wa msimu...??

Niichukueje wakati anasema imepotea?
 
Hiyo suruali niliinunua Newala kwenye mishemishe zangu.
 
Back
Top Bottom