Radio inayotanga direct kutoka bungeni

Radio inayotanga direct kutoka bungeni

Emanzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
261
Reaction score
118
Wapendwa naomba kujua ni redio gani ipo kwenye app ya tunein au website inayotanganza direct kutoka bungeni
Ningependa kusikiliza report ya escrow toka PAC

Samahani sana sipo tanzania ila nasikiliza redio kadhaa pitia TuneIn na mtandao my favorite ni Esat Africa Radio ila hawatangazi direct toka bungeni


Tafadhali nisaidieni
 
du. kwetu umeme umekatika. naomba msaada wa updates humu jf kuhusu bunge leo
 
Clouds Fm wapo wanajadili na wamesema watajiunga na bunge itakapotimia saa 11 kamili jioni hii.
 
kuna aliyesema arusha mambo FM ebu tegeshea hapo pia , nimetegesha haijaanza .
 
Back
Top Bottom