Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,732
- 6,631
Mbona alishahutubia, ile aliyoitoa pale JNIA siku aliporudi toka US ndo hotuba yenyewe ya mwezi ile.
Maswala ya afya yake?

Nyie wachaga wengine wakuchomwa moto majizi mpaka basi unakaa rombo mashati halafu uwe na akili,siyo rahisi.

Ni kawaida kwa rais wetu kuhutubia taifa kila mwisho wa mwezi. kwa kawaida hotuba hii hutolewa kati ya tarehe 30 mpaka 3 ya mwezi unaofuatiwa.
Mpaka leo tarehe 5/12/2014 mh Rais haujahutubia taifa huku wananchi tukiwa katika njia panda katika mambo lukuki.
Hotuba ya mwezi huu vipi ndugu Profesa dr Kikwete. Kwa maneno yako ulisema DR amekuzuia kufanya kazi ngumu, je na hii ya kuhutubia taifa nimojawapo??

Na msaidia kutoa hotuba,mijizi yote inayohusika na escrow ikamatwe na ishughulikiwe mara moja.