Mkuu samahani, unaweza kunielekeza jinsi ya kureload pesa ktk hii acc ya payoneer? Ninayo acc lakini sijajua kuingiza pesa ktk hiyo acc ya payoneer, msaada pliz.
Hiyo aibu ni kila sehemu ndugu yangu, chukia kuitwa mtanzania kama mimi navyochukia, maana nchi imeharibiwa kila sehemu na hawa waccm, ni aibu aibu aibu. Abu dhabi kuna muhindi huyo ukifika anaanza kukuuliza maswali ya kisenge kama unavyojua wahindi kwa maswali ya kijinga, what can I help you...
Nyie wa ccm mkae mkijua kwamba kamwe chadema haita badilisha mw/kiti kwa matakwa yenu, na hata mgombea uraisi ambaye ni Lowassa si mnamchukia kupita kiasi? Kamwe hatoachwa kusimamishwa eti sababu nyie ccm hamumtaki, atasimama Lowassa na atatuambia waTz ni nini hasa kimefanya mumchukie hivyo...
Ccm mtang'oka wacheni kufikiri kwamba nyie ndio hati miliki ya hii nchi, ni kipi kinachowapa jeuri kiasi hicho, basi ipo siku mtakuja kudhania kwamba mwana ccm yeyote hatokufa maishani mwake kwa jinsi akili zenu msivyozishughulisha kufikiri.
Kwanza kabisa umemshambulia sana Kubenea bila shaka amekuchukulia, ipo siku utathibitisha hapa, pili hayo yoote mengine uliyoyasema hapo ni sawa na umejitia mwenyewe kijiti jichoni, alafu unaomba kusaidiwa kukitoa.. umekubali kutumika bila kujali heshima yako itakavyo potea mtaani kwenu huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.