Huduma ya Paypal Tanzania

Huduma ya Paypal Tanzania

mimi natumia huduma ya paypal ni mtewja wa nbc siyo kweli hii huduma hairuhusiwi sema wafanyakazi wengi wa benki ni vihiyo baada ya kufanya process zote kuna code nilitakiwa nizipate nilipoenda nilizungushwa sana mpaka nikaenda kitengo cha it cha nbc ambacho kiko jamhuri ndio wakanipa hizo code unatakiwa ama uwe na visa card au master card

Jaribuni kusoma kwa makini posts kabla ya kujibu.Tatizo tumesema lipo kwenye upokeaji wa pesa toka nje ya nchi.Kutuma hela sio tatizo.Try to read between lines
 
mbona mimi paypal Tanzania imekubali? ila wakati wa kujiunga cek paypl Tanzania nlijaza details zote na bank details za CRDB. Baada ya muda wakatuma verification code nliyoikuta kwenye bank statement. so I verified my card na nshanunua vitu mara mbili kwa ebay

naomba unisaidie mana nashindwa sign up pay pal
 
google pay pal international. utaona link ya Tanzania. iclick then unaregister
 
google pay pal international. utaona link ya Tanzania. iclick then unaregister
 
Malipo kwa njia ya PAYPAL; Hii ni njia au huduma nzuri sana na ya haraka kulipwa au kulipa hela. Ni huduma inayotumika sana Duniani kwa sasa. Lakini nchi yetu ya Tanzania hususan Benki kuu wamekataa malipo ya huduma hii yaani mtu, taasisi au shirika haliwezi kulipa mtu, taasisi au shirika kwa kutumia PayPal. Tanzania inaruhusu tu kulipa kwa kutumia Pay Pal lakini hairuhusu kulipwa, hii ni ajabu sana kwani nchi yetu inahitaji hela za kigeni kila uchao lakini hairuhusu huduma nzuri na ya haraka ya kuleta hizo fedha za kigeni. Majirani zetu Wakenya wanaruhusu kulipa na kulipwa kwa kutumia PAPAL, nauliza; sisi Tanzania ni Kisiwa? Naomba mamlaka husika husasan benki kuu waangalia namna ya kuruhusu huduma hii Tanzania.
NAWASILISHA.
nataka kujiunga tatizo ZIP CODE ndo sijui najaza nini (zipi)? msaada tafadhali katika hili
 
Ni kweli sisi tunaweza lipa kwa paypal ila si kilipwa ni shida sijapata kuona mamlaka husika iliangalie hili kwa kweliii
 
Back
Top Bottom