Nimesoma NKOMOLO 1 primary School, Namanyere, nikajiunga na NKANSI SEC. SCH. na sasa nina mawe mawili (Naipenda shule yangu) nilishangaa sana mwandishi aliposema ipo mwambao wa ziwa wakati ipo mbali kama Dar-Moro. Poleni sana kwa kuchafuliwa.
So long as hakuna aliyedhurika na mipango yake, hakuna sheria ya kuwabana wahusika kwa sababu sheria zilitungwa kutatua matatizo, na hapo hakuna tatizo.
Upinzani sio kupinga kila HOJA, kuna watu hawajui maana halisi ya upinzani na ndio wanao rudisha taifa letu nyuma. Kwa mfano JK alipozindua mradi wa magari yaendayo kasi, wapinzani wake walisema haiwezekani, mara ooh kampeni tu hizo. USHAURI WANGU TUMPE MUDA, THEN TUILETE HII MADA HAPA.
Nimekuelewa mkuu, ya kuwa ndoa zinahitaji uwajibikaji, kushindwa kufanya hivyo hayo mambo uliyoyataja yanatokea kwa kiasi kikubwa. Kila aliye kwenye ndoa awajibike kupunguza haya majanga.
UKAWA waoneshe uzalendo kwa kujali wananchi na si kutanguliza maslai yao mbele. Kwa nini hawataki maridhiano?? JK amekomaa kisiasa, akimaanisha yuko tayari kwa maridhiano ila upande wa UKAWA ni sheeedaa.
Mtu akiwa unconscious anaji control vipi???? ukimwamusha atakuwa conscious atakusikia, lakini akirudi unconscious atarudia kung'ata meno, kung'ata kucha ni conscious state hivyo mtu anaweza kuji control. UKIELEWA HIVI VITU HAVIKUPI SHIDA NA NI SAIKOLOJIA TU INAYOMFANYA MTU ASILALE, KUBALI...
Ni kweli ni tabia ila ni ya kurithi, mimi baba yangu marehemu alikuwa na tabia ya kutafuna mdomo akiwa usingizini, mimi siko hivyo ila mwanangu karithi hiyo tabia. Hiyo ni genetic issue, hivyo Muumba anahusika, kung'ata kucha sio mfano sahihi kwa hii mada.
"Atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi" Yoh. 8:34, Usihukumu, usije ukahukumiwa......RIP Gadaf.
Yawezekana alikuwa mtumwa wa dhambi lakini alihukumiwa na watu wasiostahili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.