Kutafuna meno wakati wa usiku

Kutafuna meno wakati wa usiku

Tabia zinabadilishika! Kung'ata ku ha, kusaga meno n.k zote ni tabia wala si maumbile usimsingizie Mungu....lol

Hivi eeeeh??bora umenipa mwangaza ndugu yangu maana daaah nilitaka kushangaa kuwa hii ni involuntary action kweli au tabia tu.
 
Tabia tu ujue kuna vitu vingine tunafanya unconsciously halafu vinaonekana kama hatuvilazimishi lakini ni vitabia tu.
Pole mwaya kama vipi mwamshe na umwambie unakereka
 
Jamani nashindwa kulala mpaka sasa hivi....nmepata mgeni ana sugua meno hatari na nmelala nae room kwangu.

Wengine humu wanamatatizo kama haya au kuzidi haya.
Utakuta mtu anakoroma kama simba au wengine ulala kama anaogelea jamani.

Hivi ni ulemavu,tabia isiyokuwa na dawa au mnafanya makusudi??
Unampiga mwenzio mguu wa mbavu,au unamtia roba kabisaaaaa loooh tubadilike.

Yamenikuta hapa ila kwa kuwa jamii ni hii hii basi tubadilike.Tujifunze kulala vizur sio domo wazi miudenda kuitiririsha.

Hii inaitwa vunja kero......maana kwa utafunaji wa meno na kukoroma sana basi nyumba za kupanga itakuwa kero.Yaani mtu unatafuna meno kama bisi za kukaanga
Mkuu miss Strong funguka,je huyo mgeni wako ni Ke au me? kama ni me na wewe ni ke ni kawaida kwani kuna homones zinazomfanya mwanaume kulala usingizi mzito baada ya kumaliza kazi anayokabidhiwa na mke/mpenzi wake.
kwa hiyo ukilala usingizi wa pono lolote laweza tokea.
 
Mmmhhh yaani ntajitahidi kwa leo mpenz ila kwa kesho sintaweza.Maana si kawaida yangu mpaka sasa hivi kuwa macho.
 
Duh aisee so si umwambie tu? Au fungulia mziki ili uweze kusapass hiyo sauti🙊
 
Mkuu miss Strong funguka,je huyo mgeni wako ni Ke au me? kama ni me na wewe ni ke ni kawaida kwani kuna homones zinazomfanya mwanaume kulala usingizi mzito baada ya kumaliza kazi anayokabidhiwa na mke/mpenzi wake.
kwa hiyo ukilala usingizi wa pono lolote laweza tokea.

Ni mwanamke bwana
 
Duh nawe una mawazo
 
Tabia zinabadilishika! Kung'ata kucha, kusaga meno n.k zote ni tabia wala si maumbile usimsingizie Mungu....lol
Ni kweli ni tabia ila ni ya kurithi, mimi baba yangu marehemu alikuwa na tabia ya kutafuna mdomo akiwa usingizini, mimi siko hivyo ila mwanangu karithi hiyo tabia. Hiyo ni genetic issue, hivyo Muumba anahusika, kung'ata kucha sio mfano sahihi kwa hii mada.
 
Tabia tu ujue kuna vitu vingine tunafanya unconsciously halafu vinaonekana kama hatuvilazimishi lakini ni vitabia tu.
Pole mwaya kama vipi mwamshe na umwambie unakereka
Mtu akiwa unconscious anaji control vipi???? ukimwamusha atakuwa conscious atakusikia, lakini akirudi unconscious atarudia kung'ata meno, kung'ata kucha ni conscious state hivyo mtu anaweza kuji control. UKIELEWA HIVI VITU HAVIKUPI SHIDA NA NI SAIKOLOJIA TU INAYOMFANYA MTU ASILALE, KUBALI MATOKEO UTAPATA USINGIZI NA INASUMBUA IKIWA NI MARA YA KWANZA, UKIZOEA HAIKUPI SHIDA.
 
Jamani nashindwa kulala mpaka sasa hivi....nmepata mgeni ana sugua meno hatari na nmelala nae room kwangu.

Wengine humu wanamatatizo kama haya au kuzidi haya.
Utakuta mtu anakoroma kama simba au wengine ulala kama anaogelea jamani.

Hivi ni ulemavu,tabia isiyokuwa na dawa au mnafanya makusudi??
Unampiga mwenzio mguu wa mbavu,au unamtia roba kabisaaaaa loooh tubadilike.

Yamenikuta hapa ila kwa kuwa jamii ni hii hii basi tubadilike.Tujifunze kulala vizur sio domo wazi miudenda kuitiririsha.

Hii inaitwa vunja kero......maana kwa utafunaji wa meno na kukoroma sana basi nyumba za kupanga itakuwa kero.Yaani mtu unatafuna meno kama bisi za kukaanga

Unanikumbusha x wangu alikuwa na Hilo tatizo ila sio kila siku na wala haikuwa usiku kucha anasaga meno, vumilia kwa vile ni mpita njia tu, ila hata Kama atakuwa mkazi wa kudumu baada ya muda utazoea.
 
kuuma meno wakati umelala ni minyoo pure

kukoroma kuna sababu nyingi ikiwamo obesity, ulevi, maumbile nk

sasa na wewe dada huyo wa kuuma meno hivyo umemtoa wapi?? matema??
 
kuna jamaa tulifanya nae kazi site moja anakoroma utafikiri tractor inapanda mlia,ila kisababishi kikubwa ni jinsi ya kulala hewa inashindwa kutoka vizuri na kuingia,hiyo ya kulala ka anaogelea nimeipenda kuna wengine wanapiga mateke utafikiri wapo uwanja wa judo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom