Kutafuna meno wakati wa usiku

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
Jamani nashindwa kulala mpaka sasa hivi....nmepata mgeni ana sugua meno hatari na nmelala nae room kwangu.

Wengine humu wanamatatizo kama haya au kuzidi haya.
Utakuta mtu anakoroma kama simba au wengine ulala kama anaogelea jamani.

Hivi ni ulemavu,tabia isiyokuwa na dawa au mnafanya makusudi??
Unampiga mwenzio mguu wa mbavu,au unamtia roba kabisaaaaa loooh tubadilike.

Yamenikuta hapa ila kwa kuwa jamii ni hii hii basi tubadilike.Tujifunze kulala vizur sio domo wazi miudenda kuitiririsha.

Hii inaitwa vunja kero......maana kwa utafunaji wa meno na kukoroma sana basi nyumba za kupanga itakuwa kero.Yaani mtu unatafuna meno kama bisi za kukaanga
 
Kung'ata meno ni matatizo ya kimakuzi zaidi,
kukoroma nayo inachangiwa na namna ya kulala, mtu yoyote akilala kwa mgongo kichwa juu lazima akorome, mapafu yanakuwa kama yanakuja mbele hivyo kunamfanya apumue kwa shida na mkoromo unaanzia kwenye mapafu, Nimejaribu kujibu socially lkn madactari wanaweza kujibu kwa upande mwingine.
 
Hilo tatizo ni bruxism, inawezekana ana stress sana, au ni mazoea yake tu kutokana na mapengo mdomoni au ni habit tu aliyojifunza toka utotoni.
 
Hilo tatizo ni bruxism, inawezekana ana stress sana, au ni mazoea yake tu kutokana na mapengo mdomoni au ni habit tu aliyojifunza toka utotoni.

Loooooh basi ni hatari.....yaani namuona mpaka huruma huenda mpaka asubuhi ikawa unga mtupu wa meno yakasagika
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kung'ata meno ni matatizo ya kimakuzi zaidi,
kukoroma nayo inachangiwa na namna ya kulala, mtu yoyote akilala kwa mgongo kichwa juu lazima akorome, mapafu yanakuwa kama yanakuja mbele hivyo kunamfanya apumue kwa shida na mkoromo unaanzia kwenye mapafu, Nimejaribu kujibu socially lkn madactari wanaweza kujibu kwa upande mwingine.

Ni kazi jamani....
 
Kamnunulie beer aina ya safari 2 tu atalala bila ya kufanya ivo missstrong
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom