JamiiForums Tanzania
Ujenzi
NIna hamu ya kujenga nyumba ya ghorofa. Nataka ghorofa moja tu na balcony ya juu.
Natamani nyumba kwa ground floor iwe yenye rooms mbili zote self contained, jiko, library, living room pamoja na bafu/toilet inayojitegemea na kwa ghorofa ya kwanza natamani iwe na rooms tatu za self contained. Juu...